Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliHiki kisa huwaga nakisiaga tu,mkuu hebu dadavua kilichompata Mdhihiri!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachungaji wa siku hizi majanga sana
Ee Mola umuweke kule kunakomshahili.
Sasa amekufa yeye kama mwenzake aliyeshindwa hata kutoa pole ya kinafiki kwa lissu alipotandikwa mvua ya risasi. Karma always find its way back 😂Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu
So pathetic mnadhani ni Zitto peke yake, kulikuwa na pettition online ya hilo suala na World Bank walikuwa tagged. Ili kuwa na sigantures zaidi ya 10,000 mimi mwenyewe niliandika emails, World Bank ilikuwa flooded na emails zikilalamika udikteta wa awamu ya tano.
View attachment 1346062
Endeleeni kulala tu maana mmejaza vilaza kwenye hilo chama chakavu.
Mwisho HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's School na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.
View attachment 1344066
Futi sita chali.Mungu hadhihakiwi, yupo wapi Mama Rwakatare hivi sasa?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Yeah the adress is very precisely[emoji3]Sasa amekufa yeye kama mwenzake aliyeshindwa hata kutoa pole ya kinafiki kwa lissu alipotandikwa mvua ya risasi. Karma always find its way back [emoji23]
Huyo mama alipewa Pesa na msaada na mabasi na mabeberu ajenge shule ziwasaidie bure wasiojiweza wapate elimu yeye anatoza Ada kubwa kibiashara
yaani mwendazake na group lake wamenipa funzo sana jinsi ya kuishi kwenye hii dunia. Nazidi kuamini Mungu yupo na hajali lolote lile kwa yeyote yule. Yaan hili group la akina mwendazake siamin kama limepukutika namna hiiMungu hadhihakiwi, yupo wapi Mama Rwakatare hivi sasa?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Mungu ni Mkuu sanaMungu fundi jamani risasi 16 mwilini mtu yupo hai walioshangilia washaoza kitambo wamebaki mafuvu khaa. Lissu amenitia kiburi Cha kumtumaini Mungu pekee.