simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Usiwe mwepesi kuhumu watanzania.Tume ndio inawapa hawa kura. Watanzania wengi wameichoka ccm.Lakini chaajabu keshokutwa watakuja kuwaombeni KURA/KULA na mtawapa. Hii ndiyo Tanz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa!Hii kauli angetoa mbunge wa chadema ndugai na kina mkuchika wangehakikisha safari yake ya ubunge inafika tamati
Tanzania ya magu matukio mengine inakupa shida kuamini. CCM imetufikisha hapa.Nilikua siamini kabla sijaona Video.
Hufuatilii mambo, CHADEMA ni taasisi ya wanachama hai over 10m! Hakuna chama chochote TZ kina Ndoto ya kufikisha idadi hiyo including chama chakavu!Zitto ni Mrema wa new generation.RIP CHADEMA.
Kuongeza si hoja, ila reaction baada ya kuongea, tungewaona wanaakili wangezomea sio kushangilia! Ni mahamnazo!Imagine Mbunge anaongea statements za hovyo kiasi hiki
Hii kali..... Mchungaji wa Mwendokasi...!!Wachungaji wa mwendokasi