Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Bulembo ni mkwewe Zitto; baba mkwe anataka zitto auwawe ili mwanae awe mjane apate mahali ya pili?

Anyway, hawa wabunge hawana budi kufungua akili zao kuhusu jinsi World Bank wanavyofanya maamuzi yao; taasisi hii ina muwakilishi wake hapa nchini ambaye anawapelekea taarifa zote kuhusu Tanzania. Hawafanyi maamuzi bila input ya muwakilishi wao!

Pia ili nchi ipate mkopo kuna mashariti ambayo lazima yafuatwe yakiwemo ya serikali kuwa na utawala bora. Sasa kama serikali inakandamiza wananchi wake , isitafute mchawi mara mnaponyimwa mikopo na Wamerekani wanapowawekea vikwazo!

Serikali haina budi kujitathmini matendo yake na isijaribu “ kujimwambafy” kama anavyojaribu kufanya Kabudi dhidi ya Marekani, ataiingiza nchi katika taabu kwa kauli za kijinga.

Jibuni hoja msikimbilie kuwatisha watu eti mtawaua kwani nyie ndio mliowaumba?
 
Lowest kind of mind being potrayed, they should be ashamed kuwa kwenye hilo jumba.
 
Duh, ninakosa maneno ya kutumia kum-describe huyo mama anayejiita 'Mchungaji'. Uchungaji ni matendo na sio jina tu.

Huyu mama, kama tunayosikia yakisemwa juu yake ni kweli basi hakuna hata haja ya kupoteza muda kumjadili kwani ni wale, "Ferocious Wolves in Sheep Clothing", Matthew 7:15
 
TUTAWATAMBUA KWA (matendo yao) MAUJI NA UTAKAJI WAO.
 
Back
Top Bottom