Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Njoo unisuke shindikanaa.Shindikanaa acha nichape kazi tu bohora la mbege limepanda bei mashirima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo unisuke shindikanaa.Shindikanaa acha nichape kazi tu bohora la mbege limepanda bei mashirima.
Unaambiwa mbirua zimepanda bei 🤣Shindikanaa acha nichape kazi tu bohora la mbege limepanda bei mashirima.
Hili nalo ndiyo la waziri kushughulikia!? Kuna wakati tuwe serious na vitu vya msingi.Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Hahaa!!Duh! Hadi huruma
Kwani kusuka rasta ni lazima, mambo mengine kujitakia tu.
Wenye hela hawawezi kwenda sehemu isiyo na amani kwa wanaojichukulia sheria mkononi.Wataiogopa wezi kama huyo, wenye pesa zao wanaiogopaje Mkuu.
A share from your vast fortune.Acheni kusumbua watu kwa vitu vidogo. Waziri ana mambo muhimu ya kufanya sio watu kunyoana nywele. Hao wenye wasusi hawana utu kumuachia mtu mmoja inakupunguzia nini? Ningekuwa karibu hapo ningemlipia huyo dada.
Kumbe mnaita mbirua😁😁Unaambiwa mbirua zimepanda bei 🤣
😋Njoo unisuke shindikanaa.
Mbirua ni ndizi zilizoiva... Sasa ile mbege nzuri lazima ndizi zihusikeKumbe mnaita mbirua😁😁
Makubwa hayaWakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Hapana wengemwambia atafute pesa pale pale au akope popote huenda huyo dada ndo pigo zake kuwakimbia wasusi