heretostay
Member
- Sep 13, 2024
- 81
- 100
Ukute simu yenyewe ya wizi, hapana sishauri.Au angeacha simu yake bondi. Akatafute hela kisha arudi kuikomboa. Ila simu yenyewe iwe smart sasa sio kitochi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute simu yenyewe ya wizi, hapana sishauri.Au angeacha simu yake bondi. Akatafute hela kisha arudi kuikomboa. Ila simu yenyewe iwe smart sasa sio kitochi.
Ndio hawa ambao kama waziri angeingilia bila hiki kitu kuonekana kwenye Social media, wangesema viongozi wanashughulikia mambo madogo na kuacha makubwa...Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
HUYU INAWEZENA HELA AMEIIDONDOSHA, SIDHANI KAMA MTU NA AKILI YAKE, ATOKE NYUMBANI KWAKE, AENDE SJIPAMBE SEHEMU YA BIASHARA BURE.Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
Kwanini ajaribu kukimbia, si angesema tu, kuwa kitu fulani kimetokea.HUYU INAWEZENA HELA AMEIIDONDOSHA, SIDHANI KAMA MTU NA AKILI YAKE, ATOKE NYUMBANI KWAKE, AENDE SJIPAMBE SEHEMU YA BIASHARA BURE.
MTOA HUDUMA ALICHOTAKIWA KUFANYA NI KUMZUIA MPAKA ALIPE, HATIMAE ANGEWASILIANA NA WASITILI WAKE WANGEMSAIDIA KULIPA. ALICHOTENDA MUHUDUMU NI KOSA NA UDHALILISHAJI, UKITOA HUDUMA KUWA MVUMILIVU. HII WATU WENGINE HUWATOKEA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI, ANAPOTAKIWA KUTOA NAULI HUJIKUNA HANA NA TAYARI YUPO NDANI CHOMBO AMBACHO KINAENDELE NA SAFARI.
Nchi ina upumbavu mwingi, na wananchini wapumbavu pia, Jambo gani hili la kumtaka Waziri aingilie.
Hugo dada kazingua, unaendaje saloon na hunakitu nakibaya zaidi alitaka kuwambia, bora angeongea ukweli, kuna hiki hiki na hiki tunafanyaje.
Mwanzo niliangalia video bila sauti, hivyo sikusikiliza maelezo ya huyo Dada.Kwanini ajaribu kukimbia, si angesema tu, kuwa kitu fulani kimetokea.
Wewe vipi ndugu. nasema inawezekana kadondosha wakati yeye hajasema kadondosha? Angedondosha angeenda kujificha chooni? Huyu alikuwa na lengo la kupiga chenga tu.HUYU INAWEZENA HELA AMEIIDONDOSHA, SIDHANI KAMA MTU NA AKILI YAKE, ATOKE NYUMBANI KWAKE, AENDE SJIPAMBE SEHEMU YA BIASHARA BURE.
MTOA HUDUMA ALICHOTAKIWA KUFANYA NI KUMZUIA MPAKA ALIPE, HATIMAE ANGEWASILIANA NA WASITILI WAKE WANGEMSAIDIA KULIPA. ALICHOTENDA MUHUDUMU NI KOSA NA UDHALILISHAJI, UKITOA HUDUMA KUWA MVUMILIVU. HII WATU WENGINE HUWATOKEA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI, ANAPOTAKIWA KUTOA NAULI HUJIKUNA HANA NA TAYARI YUPO NDANI CHOMBO AMBACHO KINAENDELE NA SAFARI.
Yaani wamwambie atafute pesa pale pale? Nani kaziweka hizo hela hadi atafute pale pale?Hapana wengemwambia atafute pesa pale pale au akope popote huenda huyo dada ndo pigo zake kuwakimbia wasusi
Kuja Ujionee Wanachi wako!!
Ismail2023
Elf 30 ya saluni hana labda huyo mwanasheria sijui...Akiwa na mwanasheria mzuri anaweza dai fidia akaifilisi hio saluni
Udhalilishaji wa hali ya juu! Ila ukweli tu ni kwamba wanawake hawapendani hata kidogo! Ingekuwa kwa kinyozi wala isingekuwa hivyo!Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Kuna wanasheria wa kujitolea wanaweza kumpa msaada wa kisheria!Elf 30 ya saluni hana labda huyo mwanasheria sijui...