Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
Ndio hawa ambao kama waziri angeingilia bila hiki kitu kuonekana kwenye Social media, wangesema viongozi wanashughulikia mambo madogo na kuacha makubwa...
 
Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
HUYU INAWEZENA HELA AMEIIDONDOSHA, SIDHANI KAMA MTU NA AKILI YAKE, ATOKE NYUMBANI KWAKE, AENDE SJIPAMBE SEHEMU YA BIASHARA BURE.
MTOA HUDUMA ALICHOTAKIWA KUFANYA NI KUMZUIA MPAKA ALIPE, HATIMAE ANGEWASILIANA NA WASITILI WAKE WANGEMSAIDIA KULIPA. ALICHOTENDA MUHUDUMU NI KOSA NA UDHALILISHAJI, UKITOA HUDUMA KUWA MVUMILIVU. HII WATU WENGINE HUWATOKEA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI, ANAPOTAKIWA KUTOA NAULI HUJIKUNA HANA NA TAYARI YUPO NDANI CHOMBO AMBACHO KINAENDELE NA SAFARI.
 
Waziri afanyeje mnamsumbua bure. Bidada kastahili
 
Nchi ina upumbavu mwingi, na wananchini wapumbavu pia, Jambo gani hili la kumtaka Waziri aingilie.

Hugo dada kazingua, unaendaje saloon na hunakitu nakibaya zaidi alitaka kuwambia, bora angeongea ukweli, kuna hiki hiki na hiki tunafanyaje.
 
HUYU INAWEZENA HELA AMEIIDONDOSHA, SIDHANI KAMA MTU NA AKILI YAKE, ATOKE NYUMBANI KWAKE, AENDE SJIPAMBE SEHEMU YA BIASHARA BURE.
MTOA HUDUMA ALICHOTAKIWA KUFANYA NI KUMZUIA MPAKA ALIPE, HATIMAE ANGEWASILIANA NA WASITILI WAKE WANGEMSAIDIA KULIPA. ALICHOTENDA MUHUDUMU NI KOSA NA UDHALILISHAJI, UKITOA HUDUMA KUWA MVUMILIVU. HII WATU WENGINE HUWATOKEA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI, ANAPOTAKIWA KUTOA NAULI HUJIKUNA HANA NA TAYARI YUPO NDANI CHOMBO AMBACHO KINAENDELE NA SAFARI.
Kwanini ajaribu kukimbia, si angesema tu, kuwa kitu fulani kimetokea.
 
Mnataka kufanya wizara ya mama gwajima ni ya hovyo kiasi hicho? Anyway, mwambieni huyo mdada amhamasishe bwana wake atume mshenga familia yake ipate mahali tu.
 
Tatizo dharau hakuwaomba radhi wala kuwapa ahadi ya kulipa akawa anawacheka tu. Tuheshimu biashara za watu jamani

Asante kwa maoni yako.

Naungana na wewe kwenye hili.

Watu waheshimu biashara za watu
 
Nchi ina upumbavu mwingi, na wananchini wapumbavu pia, Jambo gani hili la kumtaka Waziri aingilie.

Hugo dada kazingua, unaendaje saloon na hunakitu nakibaya zaidi alitaka kuwambia, bora angeongea ukweli, kuna hiki hiki na hiki tunafanyaje.

Ngoja kwanza.

Unamtukana nani kama mwanao?

Hakuna mtoto wako humu mkuu
 
Mwamba katuwakilisha vizuri sana kokote aliko...amesave elfu 50 hiyo
 
Kwanini ajaribu kukimbia, si angesema tu, kuwa kitu fulani kimetokea.
Mwanzo niliangalia video bila sauti, hivyo sikusikiliza maelezo ya huyo Dada.
Kama aliehudumiwa alifamya hivyo basi ana shida kwenye akili zake.

Ndiyo maana kwenye maelezo nimeshangaa, mtu na akili yake kutoka nyumbani kwake kwenda kujipsmba eneo la kibiashara akiwa hana hela ya kulipa.
Kwa kulinda heshima biashara yako, wangempeka polisi, maana akiamua yeye kwenda kulalamika, anaweza filisi mtaji.
 
Akili hawana so kama Hana simu si bora wangeichukua,hizo rasta walizozikata si hasara
 
HUYU INAWEZENA HELA AMEIIDONDOSHA, SIDHANI KAMA MTU NA AKILI YAKE, ATOKE NYUMBANI KWAKE, AENDE SJIPAMBE SEHEMU YA BIASHARA BURE.
MTOA HUDUMA ALICHOTAKIWA KUFANYA NI KUMZUIA MPAKA ALIPE, HATIMAE ANGEWASILIANA NA WASITILI WAKE WANGEMSAIDIA KULIPA. ALICHOTENDA MUHUDUMU NI KOSA NA UDHALILISHAJI, UKITOA HUDUMA KUWA MVUMILIVU. HII WATU WENGINE HUWATOKEA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI, ANAPOTAKIWA KUTOA NAULI HUJIKUNA HANA NA TAYARI YUPO NDANI CHOMBO AMBACHO KINAENDELE NA SAFARI.
Wewe vipi ndugu. nasema inawezekana kadondosha wakati yeye hajasema kadondosha? Angedondosha angeenda kujificha chooni? Huyu alikuwa na lengo la kupiga chenga tu.
 
Hapana wengemwambia atafute pesa pale pale au akope popote huenda huyo dada ndo pigo zake kuwakimbia wasusi
Yaani wamwambie atafute pesa pale pale? Nani kaziweka hizo hela hadi atafute pale pale?
Mimi nilijua labda mzabzab kahusika kumbe kunyolewa tuu?
Dada Dorothy endelea na majukumu yako achana na hawa wapuuzi.
 
Wakuu,

Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.

Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.

Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii

View attachment 3250374
Udhalilishaji wa hali ya juu! Ila ukweli tu ni kwamba wanawake hawapendani hata kidogo! Ingekuwa kwa kinyozi wala isingekuwa hivyo!
 
Back
Top Bottom