Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

mkumbo umeshapitwa na wakati kijana huu ni muda wa kufunga makanda na kuzichangamkia fursa za kiuchumi zilizo tapakaa nchi nzima
Wewe ni muarabu au mbantu ? Fufsa za uchumi tanzania wamewekewa waarabu na vibaraka wao wa masjid kwa sasa hakuna mbantu anaye pewa hizo fursa.
 
mkumbo umeshapitwa na wakati kijana huu ni muda wa kufunga makanda na kuzichangamkia fursa za kiuchumi zilizo tapakaa nchi nzima
Kama hizo fursa zimetapakaa nchi nzima sasa kwa nini Watanzania wengi ni masikini? Kwani unadhani Watanzania sio wachapa kazi?
 
Shida ni nini? Hakulipa Nauli? Angesikilizwa kwa nini hataki kulipa nauli kuliko kumdhalilisha namna Ile.
 
Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi, hawa migambo inapaswa wasome alama za nyakati.
Wanafikiri wananchi wanaogopa.
View attachment 3509387
Tanzania inapoelekea hata polisi wataanza kuogopa kutembea kwa miguu barabarani kama wamevaa sare zao za upolisi, labda wawe wanatembea kwa makundi. Hii ni wake-up call kama ile ya mwendokasi pale Magomeni. Usipoziba ufa utaujenga ukuta.
 
Back
Top Bottom