Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

Watu wamekuwa wanawaza kupiga tu sijui kwanini, ni hatari sana

Halafu huyo jamaa ukiangalia ni kama kajitakia mwenyewe kupigwa maana ni kama walikuwa wanamtaka wampeleke sehemu fulani (bila shaka kituo cha polisi) halafu yeye hataki
 
huu unyama sio wakuchekelea rafiki zangu wa chadema haya ni mambo ya kukema
IMG_0583.jpeg

Kwani haufahamu nani katufikisha huku? Hii inamuhusu Samia, genge lake la kina Kikwete, CCM pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama. Raia hawana wa kuwatetea, wamejaa maumivu na hasira mioyoni mwao. Tutafika tu kwa kuwa wanayataka wenyewe.
 
Hao jamaa wajiandae, Sheria lazima ifuate mkondo wake. Hii haikubaliki.
 
Popote ukimkuta askari peke yake au li cvm peke yake ni kuyapiga tu, likileta shida piga kelele za mwizi lipate kiponfo stahiki.

Huyo wange mng'oa meno ili asije kusahau madhara ya kulinda watawala wa ccm na mali zao.
 
Back
Top Bottom