100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
- Thread starter
- #61
Alizingua, watu wana hasira nao sana hao wao na polisi.Dah,
Mbona ni kama GenZ wanamdunda na kumteka huyo, walimpeleka wapi?
Alizingua, watu wana hasira nao sana hao wao na polisi.Dah,
Mbona ni kama GenZ wanamdunda na kumteka huyo, walimpeleka wapi?
Tutawagonga sana humu mabarabarani hawa mapolisi na matrafiki.Tanzania inapoelekea hata polisi wataanza kuogopa kutembea kwa miguu barabarani kama wamevaa sare zao za upolisi, labda wawe wanatembea kwa makundi. Hii ni wake-up call kama ile ya mwendokasi pale Magomeni. Usipoziba ufa utaujenga ukuta.
Kwa makusudi kabisa akijua yeye chombo cha dolaAlivunja kioo cha bajaji.
Sure. Tunahitaji usalama although huku tumefikishwa na CCMhuu unyama sio wakuchekelea rafiki zangu wa chadema haya ni mambo ya kukemea
Umejuaje hao wanaochekelea ni CHADEMA? Mimi nawaomba hicho kichapo waje wakihamishie kwa Polisisiemu!huu unyama sio wakuchekelea rafiki zangu wa chadema haya ni mambo ya kukemea