Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ni kwasababu napata notification kuwa kuna mtu kaniquote na nikifungua nakuta ni wewe!Mbona unaendelea kujibu comment zanguuu kamahuna mda wakunifuatilia??
Ukisikia kujidhalilisha ndiyo huko yaani unaikana jinsi yako kisa kura?Hapo kacheza na akili za kina mama wewe huwezi kumelewa, anajua wapiga kura ni wakina mama, so anatumia lugha itakayo mbembeleza wakaina mama wenzake, marketing strategy is a key point
Kwa maana yako lissu akupigwa risasi?Haaaa haaaa. Hiyo kiki ilishawabumia siku nyingiiii hadi mnatia hurumaa.
Wengine kule ni kupiga makofi tuu yale madawati yetuWagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.
Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.
Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.
View attachment 1564728
Za jinsia zote,inatemegea na siku hiyo ataamka na jinsia gani?Kwa hiyo anavaa nguo za jinsia gani?
Mbona kajaza sana wapi huko mkuu.Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.
Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.
Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.
View attachment 1564728
AlijaziwaFomu yake ya ugombea haikuwa na kosa hata moja kweli?
Kixha haribika zamani
Hivyo vipo lkn huyu hajitambui tu wala siyo bahatiMbona kajaza sana wapi huko mkuu.
Halafu nikuilize ushawahi onge hata mbele ya kadamnasi kuanzi 400 hivi.
Hivi vitu vipo sana.
Hasara kubwa kwa rasilimali za taifaWengine kule ni kupiga makofi tuu yale madawati yetu
Ndio maana hayana miaka 2 yashapauka