Kuna muda mwili una react tu na huwezi ku u control.Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kupata vimiminika kama maji n.k
Kwa nini mkuu? Funguka!hasara ya nepotism ndio hii
Kupendeleana huko .kuna watu wako fit wananyimwa nafasiOops !!
Okwi wewe bana. Daah acha ninyamaze tu.Daah dada kamanda kachoka. Pole sana
Sasa ikifika NO Reforms No election yenyewe itakuwaje