Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,215
- 9,719
Komandoo mwenyewe anaumwa ..sembuse hao ??hasara ya nepotism ndio hii
Mwili wa binadamu hauna guarantee chief
Komandoo mwenyewe anaumwa ..sembuse hao ??hasara ya nepotism ndio hii
Nishauri Racoon
Hali hiyo hutokea ghaflaNi uchovu tu, ila kajikaza sana tu.
Swala ni yeye angeomba ruhusa mapema tu akae home japo week nzima apumzike.
Labda kakataliwa, au mbadala wake hakuwepo kwahiyo ikawa jitahidi hivyohivyo.
Matokeo ndo hayo
Mkuu,Ni mambo ya kawaida ndio ila haikutakiwa kuwa kwa kwa mlinzi wa rank hiyo mkuu...Sijui unanielewa?
Duh...!.Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
😆😂😆 we jamaa sijui umewaza nini?Mmeanza kuchoka mapema hivyo na bado hamjafikia kukimbiza mkokoteni kifua wazi?
Ni shida tu, alijua hayuko sawa kaenda kibishi siku iingie.Hali hiyo hutokea ghafla
Mkuu,Ndugu yangu ukiwa kama mlinzi wa rais umepitia training za kutosha utashindwa kusimama kwa muda tu ? Wakifanya uchunguzi watagundua kuna nepotism. Kuna ofisi na vitengo serikalini wakuu wa Idera wapo wapo tu.Unakuta mtu kawekwa hapo kwa sababu ni mvaa makobazi. Na wanaopiga hela ni watu wa chini na wakuu wa Idara hawajui nini kinatokea kazi yao ni kusoma magazeti asubuhi mpaka jioni.
Ameact vyema sana Dada wa Watu.Hapa kuna mengi ya kuyaongelea ila acha watoto wawahi shule ugali ufike mezani na familia iendelee kuneemeka huku kazi ikiendelea kufanyika hata kwa kukosa usingizi bila kulala, afya ni changamoto ya kila mtu sio suala la kumlaumu yeeye km yeeye askari huenda hii siku ya leo afya yake haikua sawa labda hakuweza kulala na hapo bado akapewa nafasi akasimame nyuma ya rais, all in all huo ndio uaskari ni amri ndio maana akamtonya mpambe wa rais kwamba naenda chini fanya jambo washtue wengine naanguka, salute mingi 🫡 kwake ingawa sijui anaitwa nani
Si mnataka wenyewe 50/50🤣🤣🤣We tupo na matatizo hapa mkuu,
🤣😓Si mnataka wenyewe 50/50
Poppy wakati wa Mwalimu mambo kama haya yalikuwa yanatokea hayarekodiwi au hayakutokea?Nadhani hii itakuwa ni habari feki nyingine,kwa leo Lissu ameanguka jukwaani Lindi.
Hakuna mtu aliyepitia mafunzo anaweza kuanguka kizembe hivyo ? Maana wanafanya kazi kwa shift sio kuwa kila siku ni yeye. Na cha kuongezea wanaenda mafunzo magumu sana ndiyo maana nikasema ni nepotism. Hili swala halipo tu kwenye ulinzi mpaka katika sekta nyingi za serikali. Vitu vinafanyika mkuu wa Idara anapitisha na hajui amesign nini ? Yaani mpaka unajiuliza huyu amepata hiki cheo ?Mkuu,
Usihitimishe nepotism kabla ya uchunguzi.
Fanya uchunguzi kwanza, thibitisha, halafu sema huyu mtoto wa fulani, kafanyiwa mpango kushika nafasi hiyo kiundugu hivi, ndiyo maana kapata.
Usije kumsingizia mtu mwenye uchovu wa kazi wa kawaida au njaa nepotism.
Mlimjua kanali Muamar Gaddafi wa Libya. Walinzi wake wote walikuwa wanawake. Na wali perform vizuri.Huu usawa tunaulazimisha ila kiukweli ni kazi ngumu Kwa mwanamke kusimama muda mrefu
Iwepo division of labor, majukumu ya ulinzi yafanywd na wanaume
Dalili mbaya sana hizi kwa majizi ya kura yaliyokubuhu.Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Nepotism maana yaje ni kupendelea marafiki au ndugu.Hakuna mtu aliyepitia mafunzo anaweza kuanguka kizembe hivyo ? Maana wanafanya kazi kwa shift sio kuwa kila siku ni yeye. Na cha kuongezea wanaenda mafunzo magumu sana ndiyo maana nikasema ni nepotism. Hili swala halipo tu kwenye ulinzi mpaka katika sekta nyingi za serikali. Vitu vinafanyika mkuu wa Idara anapitisha na hajui amesign nini ? Yaani mpaka unajiuliza huyu amepata hiki cheo ?
Huyo alikuwa anawatumia kingono tuMlimjua kanali Muamar Gaddafi wa Libya. Walinzi wake wote walikuwa wanawake. Na wali perform vizuri.