babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Ni uchovu tu, ila kajikaza sana tu.
Swala ni yeye angeomba ruhusa mapema tu akae home japo week nzima apumzike.
Labda kakataliwa, au mbadala wake hakuwepo kwahiyo ikawa jitahidi hivyohivyo.
Matokeo ndo hayo