VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Hao wanaokufa Gym wanatumia steroids mimi naongelea mfanyakazi alieajiriwa na taasisi kumlinda kiongozi wa nchi.
Kiongozi wa nchi na huyo mlinzi wake wote ni binadamu,, uhai wao upo chini ya mapenzi ya Mungu.

Magufuli alikuwa analindwa mpaka na helikopta, ilipofika tarehe 17 March 2021 ulinzi wake wa mabilioni ya shilingi haukuweza kumsaidia.
 
Hakuna kikosi cha jeshi ambacho hakina Jiko na Zahanati. Tuache kumsingizia Mungu kwa uzembe wetu wenyewe. Watu wanabebana sana mwishowe tunapata walinzi wasio na sifa.
 
Hakuna kikosi cha jeshi ambacho hakina Jiko na Zahanati. Tuache kumsingizia Mungu kwa uzembe wetu wenyewe. Watu wanabebana sana mwishowe tunapata walinzi wasio na sifa.
Mkuu unaendelea kuongea kama vile Mungu unampigia simu muda wowote ule. Baya linapokukuta halichagui sehemu gani unapokuwepo.
 
Amiri jeshi mkuu mwenyewe alianguka sembuse mlinzi? Huyo ni binadamu hata kama kapiti mafunzo ya namna gani hayambadilishi kuwa chuma
Yeye anashinda chumbani kwake akiwa na laptop anadhani yupo sawa na hao walinzi wanawake wanaoshinda juani siku nzima wakizunguka na rais.

Mama Samia pale ikulu anafanya sana mazoezi, huwa anaogelea kwenye swimming pool na mazoezi mengine ili awe fiti, Mwinyi alikuwa anatembea kila asubuhi mitaa ya Luthuli, Samora na kule baharini hata Kikwete huwa anatembea mara nyingi.

Kupatwa na kizunguzungu ni suala la hali ya kiafya. Huyo ni mwanamama pengine alikuwa kwenye 'siku' zake.
 
Mkuu unaendelea kuongea kama vile Mungu unampigia simu muda wowote ule. Baya linapokukuta halichagui sehemu gani unapokuwepo.
Ndugu kuna Mungu na uzembe sisi waaafrika tupo nyuma kwa sababu tunamsingizia Mungu uzembe wetu. Huyo mlinzi anakula kama RAIS na analala anapolala Rais. Mtu aliyepitia mafunzo magumu anapigana juu chini apate kitengo kama hicho. Na baada ya kupitia mafunzo anaweza asitumie mafunzo yake 98% anapomlinda Rais. Maana unaajiriwa mpaka Rais anamaliza muda wake hamjawahi hata kushambuliwa na mawe. Hii ni kengele kwa usalama waache kubebana kuna watu wana uwezo hawana ajira mtaani. Kuna wanajeshi wapo wanalilia kitengo kama hicho hawapewi.
 
Back
Top Bottom