Binadamu ni binadamu hata awe nani na maziezi gani hawezi kuwa chuma hivyo kawaida tuHii haiwezi kumtokea mtu mweye vigezo vya kuwa mlinzi wa Rais. Huyu yupo hapo kwa sababu ana ndugu au anajuana na watu.
Binadamu ni binadamu hata awe nani na maziezi gani hawezi kuwa chuma hivyo kawaida tuHii haiwezi kumtokea mtu mweye vigezo vya kuwa mlinzi wa Rais. Huyu yupo hapo kwa sababu ana ndugu au anajuana na watu.
Amiri jeshi mkuu mwenyewe alianguka sembuse mlinzi? Huyo ni binadamu hata kama kapiti mafunzo ya namna gani hayambadilishi kuwa chumaHakuna mtu aliyepitia mafunzo anaweza kuanguka kizembe hivyo ? Maana wanafanya kazi kwa shift sio kuwa kila siku ni yeye. Na cha kuongezea wanaenda mafunzo magumu sana ndiyo maana nikasema ni nepotism. Hili swala halipo tu kwenye ulinzi mpaka katika sekta nyingi za serikali. Vitu vinafanyika mkuu wa Idara anapitisha na hajui amesign nini ? Yaani mpaka unajiuliza huyu amepata hiki cheo ?
Amiri Jeshi mkuu anapitia mafunzo gani ya kijeshi ? Naomba unifafanulie ndugu yangu ? Maana unataka tufanane nchi nzima kama kondoo.Amiri jeshi mkuu mwenyewe alianguka sembuse mlinzi? Huyo ni binadamu hata kama kapiti mafunzo ya namna gani hayambadilishi kuwa chuma
Makonda wa daladala , Walimu wanasimama siku nzima na bila mafunzo ya kijeshi. Kuna watu mtaani wakipewa nafasi ya kupitia mafunzo watafaulu kwa viwango vya juu. Haya ndiyo matokeo ya kupeana kazi kwa kujuana, bodyguard wa rais anaanguka. Hajapigwa risasi wala kunywesha sumu, Je Rais yupo salama ?Binadamu ni binadamu hata awe nani na maziezi gani hawezi kuwa chuma hivyo kawaida tu
Ukakavu unaanza na mindset SIO misuli ndio maana Kagame hana Misuli lakini anaikalisha Congo. Mindset inaonekana usoni mwa mtu. Mlinzi wa mama ameanguka kama hakuna KITU kimempata akiwa na uso wa utulivu. Angeonyesha kushtuka au utepetevu angeathili hata saikolojia ya anayemlinda na kuathili saikolojia ya taifa zima...mwonekano wa ukakamavu ndio ukakamavu?
Acha upumbavu mkuu yeyote anaweza kupata changamotoMakonda wa daladala , Walimu wanasimama siku nzima na bila mafunzo ya kijeshi. Kuna watu mtaani wakipewa nafasi ya kupitia mafunzo watafaulu kwa viwango vya juu. Haya ndiyo matokeo ya kupeana kazi kwa kujuana, bodyguard wa rais anaanguka. Hajapigwa risasi wala kunywesha sumu, Je Rais yupo salama ?
Movie hiziIla nyie watoto bana.
Haha
Jamaa wa camera ana weledi sana ..kwa kutochukua tukio lote na focus kwa audiance
Kwa mantiki hiyo hiyo Samia hafai kuwa Rais wa nchi!Jamii umeacha miiko
Kazi ya jeshi na ulinzi ni kazi ngumu Kwa maumbile na uweZo wa mwanamke haimfai
Wao wenyewe wanalilia 50 kwa 50Huu usawa tunaulazimisha ila kiukweli ni kazi ngumu Kwa mwanamke kusimama muda mrefu
Iwepo division of labor, majukumu ya ulinzi yafanywd na wanaume
Leta video ya askari anayelinda rais kutoka Israel au nchi inayojielewa kazima nasubiri jibu lako hapa ndugu yangu.Acha upumbavu mkuu yeyote anaweza kupata changamoto
Ni kawaida kwa askari na hata civilian
Mwili ukitaka kujizima hata ufanyaje utazima tu
POINTKupendeleana huko .kuna watu wako fit wananyimwa nafasi
Aliyempa hiyo nafasi na waliofanya vetting wawajibishwe
Kwenye vita walikimbia kama madog, walimkamata akiwa peke yake.Mlimjua kanali Muamar Gaddafi wa Libya. Walinzi wake wote walikuwa wanawake. Na wali perform vizuri.
Hapana nae binadamu jamani pengine Usk hakulalala hasa ukienda sehemu za mikoani ulinz mgumu kweli kweli kuliko makao makuu
Mawazo yanayoenda kinyume na ukweli wa mambo. Ni kweli uwezo wa mwanamke haulingani na wa mwanamume lakini haimaanishi kwamba mwanamke hawezi kuwa mwanajeshi.Jamii umeacha miiko
Kazi ya jeshi na ulinzi ni kazi ngumu Kwa maumbile na uweZo wa mwanamke haimfai
Ubinafsi unakusumbuaMawazo yanayoenda kinyume na ukweli wa mambo. Ni kweli uwezo wa mwanamke haulingani na wa mwanamume lakini haimaanishi kwamba mwanamke hawezi kuwa mwanajeshi.