Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Hali hiyo hutokea ghafla
[/QUOTE
Kweli hata saa mbovu kuna wakati inaonyesha muda sahihi. Hakika umeanza kupona sasa .
Hali hiyo hutokea ghafla
[/QUOTE
Kweli hata saa mbovu kuna wakati inaonyesha muda sahihi. Hakika umeanza kupona sasa .
Bado sana kwa nchi za kiAfricaTuige wanavyofanya nchi zilizoendelea .Hawana mlinzi anayekuwa nyuma ya kiongozi.
UongoHawaruhusiwi kuwa wajawazito..
Hata antiel dorry ilibidi awepo huku
Daah sa sijui nikuambiaje uweleweUongo
Huenda hukumbuki, au ulikuwa mdogo, au una kitu kinachoitwa superiority compleex. Jakaya Kikwete ni mwanaume, mwanajeshi aliyefikia cheo kikubwa. Yalimfika haya akiwa mgombea urais. Tujifunze kuweka kumbukumbu na kuwa 'fair'.Huu usawa tunaulazimisha ila kiukweli ni kazi ngumu Kwa mwanamke kusimama muda mrefu
Iwepo division of labor, majukumu ya ulinzi yafanywd na wanaume
Ni mwanamke huyo, vipi kama alikuwa kwenye siku zake kikamjia kizunguzungu?. Unavyoongea utadhani wewe umekamilika kila unachokifanya kinakwenda vizuri.Ndugu yangu ukiwa kama mlinzi wa rais umepitia training za kutosha utashindwa kusimama kwa muda tu ? Wakifanya uchunguzi watagundua kuna nepotism. Kuna ofisi na vitengo serikalini wakuu wa Idara wapo wapo tu.Unakuta mtu kawekwa hapo kwa sababu ni mvaa makobazi. Na wanaopiga hela ni watu wa chini na wakuu wa Idara hawajui nini kinatokea kazi yao ni kusoma magazeti asubuhi mpaka jioni.
Mbona unatetea Sana au kaguswa wa imani yetu😁😁😁Mkuu,
Usihitimishe nepotism kabla ya uchunguzi.
Fanya uchunguzi kwanza, thibitisha, halafu sema huyu mtoto wa fulani, kafanyiwa mpango kushika nafasi hiyo kiundugu hivi, ndiyo maana kapata.
Usije kumsingizia mtu mwenye uchovu wa kazi wa kawaida au njaa nepotism.
Kikwete ulikuwa umri alikuwa above 60Huenda hukumbuki, au ulikuwa mdogo, au una kitu kinachoitwa superiority compleex. Jakaya Kikwete ni mwanaume, mwanajeshi aliyefikia cheo kikubwa. Yalimfika haya akiwa mgombea urais. Tujifunze kuweka kumbukumbu na kuwa 'fair'.
Kama huyo bodigadi ameshindwa kazi aseme kuna walimu na makonda wanasimama siku nzima yeye ameshindwa kusimama kwa masaa machache na ni mwanajeshi are we serious ? Kuna watu wanatafuta kazi na ukiwapa nafasi ya kufanya mafunzo ya kijeshi wanapita kwa viwango vya juu. Tatizo hizo nafasi wanapeana wao kwa wao .Ni mwanamke huyo, vipi kama alikuwa kwenye siku zake kikamjia kizunguzungu?. Unavyoongea utadhani wewe umekamilika kila unachokifanya kinakwenda vizuri.
Kumbuka kwamba ulijenga hoja ya ujanajike. Nami nikakukumbusha kwamba haya yanamtokea hata mwanamume ambaye ameshapitia jeshi na kufikia cheo cha kanali. Hujataja umri. Sasa ukitaka tujadili umri na tufanye hivyo. Ndo maana nimesema huenda una kitu kinachoitwa 'superiority complex' na unasahau ukweli ulivyo.Kikwete ulikuwa umri alikuwa above 60
Sasa huyo Binti mdogo ujue ni mambo ya kibaolojia na maumbile
Mwanamke hapaswi kushiriki shughuli za ulinzi ili kulinda stara yake
Jamii umeacha miikoKu
Kumbuka kwamba ulijenga hoja ya ujanajike. Nami nikakukumbusha kwamba haya yanamtokea hata mwanamume ambaye ameshapitia jeshi na kufikia cheo cha kanali. Hujataja umri. Sasa ukitaka tujadili umri na tufanye hivyo. Ndo maana nimesema huenda una kitu kinachoitwa 'superiority complex' na unasahau ukweli ulivyo.
kuna yule binti wa form three anaekata ngumi ka mandonga wangempa hii positionAlijikaza kweli ikashindikana
Uchovu au ana pressure imepelekea kupata kizungu zungu
Hope atapewa matibabu na kupata mda wa kupumzika
05 Aprili 2025
Judiciary Square
Dodoma, Tanzania
Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
TOKA MAKTABA :
21 Oktoba 2019
Baadhi ya matukio karibu na rais yaliyozua mjadala mpana wa umma :
Ruangwa Lindi Tanzania ziara ya John Magufuli, walinzi wafanya maamuzi baada ya moshi kujitokeza unaoweza kuleta hali yoyote isiyotegemewa
Rais azingirwa na moshi unaoonekana kwa macho, pia kuna uwezekano wa hewa kuzingirwa na vitu au hewa isiyoonekana kwa macho
MOSHI / HEWA YAVURUGA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI RUANGWA,MLETE HUYO ALIYEWASHA
View: https://m.youtube.com/watch?v=IiWbvuPFcps
Pamoja ya kuwa wananchi waliokuwepo eneo kutahayari kuona tukio la moshi la 'ajabu' ukimzingira rais, iligundulika moshi huo ni wa fire extinguisher/ kifaa cha kupuliza kuzima moto, lakini mkutano huo wa njiani wa kusimamishwa ukaghahirishwa bila kusita kwa mujibu wa protocol zilizomo ktk mabuku ya vyombo vya 'vitengo' ili kubaini ni kifaa cha zimamoto au la n.k