SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Nimesikiaga hiloooHaumwi wala nini ukweli ni kwamba hicho Kikosi huwa Wanarogana sana hivyo ukute huyo hakuaga vyema huko Kwao.
Nimesikiaga hiloooHaumwi wala nini ukweli ni kwamba hicho Kikosi huwa Wanarogana sana hivyo ukute huyo hakuaga vyema huko Kwao.
Nakuomba katika hili la Watu wa PSU Kurogana (hasa kama Watu wa Zanzibar ni wengi) niamini GENTAMYCINE 100% Oky?Nimesikiaga hilooo
Hizi drama za moshi zilitolewaga maelezo kweli yakaeleweka? Ndiyo safar ya mzee mwendazake ilipoanza.
Inji inapitia wakati mgumu,tuliombee taifa.
Gentamicin anasema ana kuja na machimbo ya taarifa zaidi kutokea MzenaWalisema JPM alikanyaga fire extinguisher / mtungi wa kuzima moto kwa bahati mbaya alipo kuwa anahitubia kutoka ndani ya gari.
Lakini hata JPM alistuka hakukubali maelezo ya kuwa kafyatua kizimamoto, akawauliza wana wa Ruangwa Lindi yaani mnanitumia mioshi ya ajabu, akavunja mkutano.
Hivyo hili la Dodoma hatujui kama ni aina ya hewa ikimkabili mlinzi, uchovu, maradhi ya mwili au afya ya akili n.k
Inabidi 'vyombo' husika kuchimba kila dhana na kuyapatia majibu sahihi kuondoa chochote kitu kinachoweza kuwa kimetokea lakini kikampata mlinzi wa karibu wa kiongozi jukwaani.
Kuna watu ma genius ila ww ni miongoni mwao yaani wengi wanaongelea kuhusu huyu mdada ila wewe ukaona hata sisi photographer tuna pongezi zetu mkuu daah shukrani sana najikuta nafurahi mno kwa kutupa vyeo vyetu....Jamaa wa camera ana weledi sana ..kwa kutochukua tukio lote na focus kwa audiance
Hawaruhusiwi kuwa wajawazito..Mjamzito, kuna kausingizi hata ukazuie vipi lazima utashindwa 😹😹
05 Aprili 2025
Judiciary Square
Dodoma, Tanzania
Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
TOKA MAKTABA :
21 Oktoba 2019
Baadhi ya matukio karibu na rais yaliyozua mjadala mpana wa umma :
Ruangwa Lindi Tanzania ziara ya John Magufuli, walinzi wafanya maamuzi baada ya moshi kujitokeza unaoweza kuleta hali yoyote isiyotegemewa
Rais azingirwa na moshi unaoonekana kwa macho, pia kuna uwezekano wa hewa kuzingirwa na vitu au hewa isiyoonekana kwa macho
MOSHI / HEWA YAVURUGA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI RUANGWA,MLETE HUYO ALIYEWASHA
View: https://m.youtube.com/watch?v=IiWbvuPFcps
Pamoja ya kuwa wananchi waliokuwepo eneo kutahayari kuona tukio la moshi la 'ajabu' ukimzingira rais, iligundulika moshi huo ni wa fire extinguisher/ kifaa cha kupuliza kuzima moto, lakini mkutano huo wa njiani wa kusimamishwa ukaghahirishwa bila kusita kwa mujibu wa protocol zilizomo ktk mabuku ya vyombo vya 'vitengo' ili kubaini ni kifaa cha zimamoto au la n.k
Wa kuitwa "mama yao" ni katili sana na mtu asiyejali hata kidogo yaani hajaguswa na kilichotokea kwa msaidizi wake hata kuuliza kuna nini. "Boss is an animal"
Wewe umeongea kiumeHuu ni uzembe wa timu. Uzembe wa kuchelewa kutafsiri taarifa alizotoa Mlinzi, pili ni kuchelewa kuchukua hatua stahiki kwa wakati baada ya tafsiri, tatu, ni Mlinzi wa akiba (Mwanamke-anaekimbia kuja kutoa back-up) kukaa mbali, kukimbia kule kungeweza kuleta taharuki miongoni mwao wenyewe na kupoteza umakini, kama kungekuwa na nia ovu.
Mlinzi Kaanza kuwaambia kupitia vifaa, no response, mpaka amemwambia ADC (Mpambe) na ndipo (Mwanaume wa nyuma) kachukua hatua. Pia mwanaume wa mbele kushoto aliekaa, ameonekana hana habari na ni kitengo (Presidential Right Man).
ADC (Huyo mwanajeshi) sio Mlinzi ni Mpambe. Mlinzi ni huyo dada, na ndie yupo full package (armed with guns, well trained body defence, detectives and equipped information accessories).
Utaona ana kifaa kutoka sikioni kuja mdomoni. Ndie "informer" mtoa taarifa wa kwanza kwa timu kwa lolote linalotokea/analoliona hapo mbele au kwa audience. Yeye anaona kila "angle" ndio maana anakaa kulia-pembeni-nyuma.
ADC anakaa nyuma, haoni mbele anaona kisogo cha Raisi, sio kazi yake kuona kila "angle" yeye ni Mpambe. Huyo dada ndio "primary security ya Raisi" anaona kila kitu hapo na taarifa za ulinzi binafsi za Raisi zinaanzia kwake.
Kuhusu kuanguka: Ni suala la kawaida, na dada wa watu kachukua hatua zote stahiki hasa ya kuanza kutoa taarifa na kujikaza kutoleta taharuki na kunuia kuangukia nyuma bila kumletea taharuki Mkuu.
Ni kosa kumletea taharuki Amiri Jeshi, kumuogopesha, kumtia wasiwasi au kumshtua kwa namna yeyote ile.
Kumbe wanajamba??They cry. They fart.
Labda BICHWA KOMWE.Mlinzi gani wa Obama unayemzungumzia wewe?
Kwa nini!?Dah tayari anahama kitengo huyu
Aaahaaaaamekufa?
Hata mimi nimeshangaa sana, DADA KAANZA MAWASILIANO MUDA MREFU NO RESPONSE ... THIS IS PATHETICHuu ni uzembe wa timu. Uzembe wa kuchelewa kutafsiri taarifa alizotoa Mlinzi, pili ni kuchelewa kuchukua hatua stahiki kwa wakati baada ya tafsiri, tatu, ni Mlinzi wa akiba (Mwanamke-anaekimbia kuja kutoa back-up) kukaa mbali, kukimbia kule kungeweza kuleta taharuki miongoni mwao wenyewe na kupoteza umakini, kama kungekuwa na nia ovu.
Mlinzi Kaanza kuwaambia kupitia vifaa, no response, mpaka amemwambia ADC (Mpambe) na ndipo (Mwanaume wa nyuma) kachukua hatua. Pia mwanaume wa mbele kushoto aliekaa, ameonekana hana habari na ni timu (Mtu wa kushoto).
ADC (Huyo mwanajeshi) sio Mlinzi ni Mpambe. Mlinzi ni huyo dada, na ndie yupo full package (armed with guns, well trained body defence, detectives and equipped information accessories).
Utaona ana kifaa kutoka sikioni kuja mdomoni. Ndie "informer" mtoa taarifa wa kwanza kwa timu kwa lolote linalotokea/analoliona hapo mbele au kwa audience. Yeye anaona kila "angle" ndio maana anakaa kulia-pembeni-nyuma.
ADC anakaa nyuma, haoni mbele anaona kisogo cha Raisi, sio kazi yake kuona kila "angle" yeye ni Mpambe. Huyo dada ndio "primary security ya Raisi" anaona kila kitu hapo na taarifa za ulinzi binafsi za Raisi zinaanzia kwake.
Kuhusu kuanguka: Ni suala la kawaida, na dada wa watu kachukua hatua zote stahiki hasa ya kuanza kutoa taarifa na kujikaza kutoleta taharuki na kunuia kuangukia nyuma bila kumletea taharuki Mkuu.
Ni kosa kumletea taharuki Amiri Jeshi, kumuogopesha, kumtia wasiwasi au kumshtua kwa namna yeyote ile.
Unazingua mkuu au jani la chuga lishafanya kazi yake?Labda amevuja damu nyingi kwenye siku zake(period). Wanawake Wana complications nyingi, wanapaswa kufanya kazi ndogo ndogo tu. Mambo ya gender equality yatawatesa sana
Acha izo kijana binadamu yule anaumwa muda wowote uleKupendeleana huko .kuna watu wako fit wananyimwa nafasi
Aliyempa hiyo nafasi na waliofanya vetting wawajibishwe