VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Mafunzo anayopitia bodyguard siyo sawa na ya askari wa kawaida ndugu yangu anza na kutambua hilo.
Ila unakubari ni askari sio askari? Usianze kuchanganya mafaili ujuaji mwingi nao ni kipaji, mafunzo tofauti ila wote ni askari ingawa roles, duties and qualifications hazipo sawa
 
Hii ni dhahiri kuwa Usalama Taifa wanamafunzo duni sana kuliko majeshi Yote chunguza
 
in desperate situations call for desperate measures, yule jamaa amefanya kazi nzuri kumuokoa yule dada jambo ambalo nimejifunza kupitia hili tukio ,Rais hana haja yakulindwa na mtu sababu ya jinsia yake badala yake mtu mwenye sifa ,mafunzo na atakaye himili mikiki mikiki pale itakapo hitajika maana.
 
Kwa siasa za tone tone hii mambo inaweza kuwa staged
 
Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.

View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.

TOKA MAKTABA :
21 Oktoba 2019

Baadhi ya matukio karibu na rais yaliyozua mjadala mpana wa umma :

Ruangwa Lindi Tanzania ziara ya John Magufuli, walinzi wafanya maamuzi baada ya moshi kujitokeza unaoweza kuleta hali yoyote isiyotegemewa

Rais azingirwa na moshi unaoonekana kwa macho, pia kuna uwezekano wa hewa kuzingirwa na vitu au hewa isiyoonekana kwa macho

MOSHI / HEWA YAVURUGA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI RUANGWA,MLETE HUYO ALIYEWASHA​

View: https://m.youtube.com/watch?v=IiWbvuPFcps

Pamoja tukio la moshi la 'ajabu' iligundulika ni fire extinguisher/ kifaa cha kupuliza kuzima moto lakini ziara ikaghairisha bila kusita kwa mujibu wa protocol ili kubaini ni kifaa cha zimamoto au la n.k

Haumwi wala nini ukweli ni kwamba hicho Kikosi huwa Wanarogana sana hivyo ukute huyo hakuaga vyema huko Kwao.
 
Back
Top Bottom