VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.

View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Inaonekana alianza kufanya mawasiliano mapema na wenzake ila wamechelewa kureact.
 
Hapa kuna mengi ya kuyaongelea ila acha watoto wawahi shule ugali ufike mezani na familia iendelee kuneemeka huku kazi ikiendelea kufanyika hata kwa kukosa usingizi bila kulala, afya ni changamoto ya kila mtu sio suala la kumlaumu yeeye km yeeye askari huenda hii siku ya leo afya yake haikua sawa labda hakuweza kulala na hapo bado akapewa nafasi akasimame nyuma ya rais, all in all huo ndio uaskari ni amri ndio maana akamtonya mpambe wa rais kwamba naenda chini fanya jambo washtue wengine naanguka, salute mingi 🫡 kwake ingawa sijui anaitwa nani
Khadija Amme
 
Mnajitetea sana,ila Kila penye jinsia hiyo,kwenye taasisi za umma,ni shida kubwa.
Bora mmeona mwenyewe!
 
Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.

View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Pole Sana kwake..
 
Ni mambo ya kawaida kwa binadamu, majukumu yake ya kusimama mda mrefu, huenda kuna wakati pressure inashuka ghafla hivyo kusababisha ubongo kukosa oxygen ya kutosha.

Anaweza kupata hali hiyo mtu yoyote. Pole yake.
Kweli kabisa 🙌
 
Kitaalamu hii hali ya kudondoka ghafla inaweza kusababishwa na:

-sukari kushuka (hypoglycemia)

-presha ya damu kushuka (hasa kwa mtu anayesimama kwa muda mrefu au kusimama ghafla: orthostatic hypotension)

-matumizi ya aina fulani za dawa

-upungufu wa maji mwilini (dehydration)

-hali ya kihisia mfano hasira, maumivu, uchovu nk

-maradhi mengine kama vile matatizo ya moyo nk
Uko sahihi Dr
 
Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.

View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Situlikubaliana 50/50..
 
Taratibu tutaelewana JW... Kule kwa General sultan makenga wamesilimishwa na hapa Tanganyika Dalali bodigadi wake chali.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Sio jambo geni kwa askari mwenye mafunzo km umepitia kwata na ukapigishwa kwata kweli najua mtiti unaujua kwa hio hilo kwa maaskari sio jambo la ajabu sana linatokea wengine wanazimia kabisa wanabwebwa na machela kwata linaendelea hakuna kupunzika mwendo mpelampela kwa hio maaskari wanajua hilo ni jambo lipo kwa kila askari kikubwa afya afya ikiyumba tu askari inabidi apunguziwe mzigo wa kazi lasivyo mtamuua
Umenikumbusha jambo.... au basi ngoja ninyamaze.
 
TEAM NZIMA YA MA - BODYGUARD WAKISOMA LUGHA YA MWILI WA KILA ALIYE KARIBU NA RAIS OBAMA

Umakini wa mawasiliano siri kukitokea changamoto, rais Obama apelekewa ujumbe siri ofisa kuwa nyuma yake mwanamama lugha ya mwili wake anaonekana hayupo sawa, rais Obama anageuka


View: https://m.youtube.com/watch?v=CbSFw7NTneQ

Umakini na teamwork (ufanyaji kazi kama timu) uliweza kugundua lugha ya mwili (body language) ya kiwingu cha watu walio jirani ya rais na hatua zikachukuliwa kwa spidi kubwa ..

Yule mlinzi alianza kuonekana hayuko sawa, nilitegemea ma cameraman wa ikulu wangeanza kuligundua mwanzo kabisa na kuwapa taarifa wenzao sababu probably lazima watakuwa ni watu wa usalama,

japo huyo camera man wa hii video aligundua ila hakua na uhakika na mashaka yake.
 
Back
Top Bottom