VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Nepotism maana yaje ni kuoendelea marafiki au ndugu.

Sasa hata ikuwa standards z8meshuka watu wanaajiriwa bika training kufuatikiwa, kwa nini hilo kazima liwe nepotism?

Haiwezekani watu wakakosa training kwa standards kushuka na watu kuwa wazembe tu bika nepotism?

Nepotism is a very soecific charge ambayo ni upendeleo kwa marafiki na dugu. Sasa unahakikishaje kuna uoendeleo wa kirafiji au kindugu hapa na si uzembe na kushuka kwa standards tu?

Na nimeuliza kama ni nepotism, huyu ni ndugu wa nani na kapendelewa na nani? Hujajibu.

Hapyo mambo ya standards za recruutment kudondoka tulinganishe sasa na zamani nimeuliza wanaoijua Ikulu watujuze zamani ilikuwaje.
Kuna mengi, aina ya vyakula vya zamani na sasa, maradhi, uchovu nk. Kwani yeye ni chuma asijikie vibaya ?
 
Screenshot_2025-04-05-17-02-03-20_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Acha kuzuga kuziba mdomo na bendera, cheka tu mzee wangu!
 
Duuh. Sina comment hapa. Maana ushahidi wa hili ni ngumu kuipata.
Mwanamke ana majukumu yake kazi ya ulinzi na jeshi kimsingi haimfai mwanamke
Hapa ni kuwadhalilisha wanawake huku tukidhani tunawapa haki sawa
 
Mwanamke ana majukumu yake kazi ya ulinzi na jeshi kimsingi haimfai mwanamke
Hapa ni kuwadhalilisha wanawake huku tukidhani tunawapa haki sawa
Tuambie na huyu alifanyaje ndugu mtaalam wa maswala ya ulinzi wa rais
 
Duh...!.
P
Sio jambo geni kwa askari mwenye mafunzo km umepitia kwata na ukapigishwa kwata kweli najua mtiti unaujua kwa hio hilo kwa maaskari sio jambo la ajabu sana linatokea wengine wanazimia kabisa wanabwebwa na machela kwata linaendelea hakuna kupunzika mwendo mpelampela kwa hio maaskari wanajua hilo ni jambo lipo kwa kila askari kikubwa afya afya ikiyumba tu askari inabidi apunguziwe mzigo wa kazi lasivyo mtamuua
 
Kwenye No reform No election hukutani na huyo utakutana na wendawazim ambao hawajali kukutoa uhai na waseme walipiga risasi juu kukuonya ila ukakaidi kwahiyo jipange pia
Hahahahaha ajue kuna binadamu yeye kuona damu, jeraha kubwa au maiti ni hali ya kawaida mno kuna watu wamepikika hasa.
 
Tuambie na huyu alifanyaje ndugu mtaalam wa maswala ya ulinzi wa rais
Si huyo tu. Hata mlinzi wa Prince Charles wa Uingereza yeye alipiga chini na alizimia kabisa. Mlinzi wa Ruto aliporomoka toka kwenye mlango wa gari ikikimbia hadi chini na kubiringita kama tairi. Binadamu tuna mbwembwe kibao ila ukweli tuna ukomo wa kila kitu kuanzia afya, uhai na umri.
 
Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.

View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Tunamuombea apone kwa wakati ili aendelee kumlinda Rais wetu.
Kazi hiyo ni ya kizalendo kweli kweli.
Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom