VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Mi nilidhani hao walinzi huwa ni species tofauti na sisi binadamu wengine 🤣.

Iweje huyo atake kudondoka?

Ukisikia wanavyosifiwa unaweza kudhani wao wana skeletons za vyuma vya pua!

Unaweza kudhani skeletal muscles zao ni za granite!

Unaweza kudhani miili yao ni migumu kiasi cha kutoweza kutoboka na risasi za aina yoyote ile!

Unaweza kudhani wakiingia kwenye ulingo wa ngumi au kwenye octagon ya MMA, watamchakaza kila mtu.

Kwa sifa wanazomwagiwa, hao wadada sijui ndo wa kutoka TISS, wanaweza kumchakaza vibaya sana Lennox Lewis at his prime!

Kuja kugundua, kumbe nao ni watu tu kama wengine na wasio na umahsusi wowote ule.

Nje ya mystique ya kufanya kazi ya serikali na kubeba silaha, they’re just mere mortals.

They need the same elements as the rest of us in order to survive. They eat. They shit. They breathe. They cry. They fart. They get sick. And most importantly, they die just like the rest of us.

They’re not special. They’re mere mortals just like me and you!

Commiserations are in order.
 
Iwe pared ya kitaifa au yoyote ile ilo swala kawaida huyo kazini kumbuka hatoki saa tisa kumbuka ilo sio kama ww unawez toroka kazini kwako saa 7 mchana unapata mda wa kupumzika
Kazi gani unaifanya na hupati muda wa kujifua ( kujiweka fit) ?
Iwe pared ya kitaifa au yoyote ile ilo swala kawaida huyo kazini kumbuka hatoki saa tisa kumbuka ilo sio kama ww unawez toroka kazini kwako saa 7 mchana unapata mda wa kupumzika
Mzee acha kuleta hoja nyepesi. Quality matters!
Paredi na ulinzi wa mkuu wa nchi ni mambo tofauti sana.
Anyway pole kwa mtaalamu. Inshallah atakaa sawa.
 
Mkuu huwa utaratibu unafanyika huwezi kumtoa mtu kama unavyofikiri taarifa uenda alishatoa ishara katika hatua za kumbadirisha hali ikamzidia
Unabidi usisubiri atoe taarifa unaweza ukamtoa mapema kwakusense
 
Training za CDOs siyo za namna unavyodhani. Endurance is a key to become a member.
Mazoezi ya kutosha humuweka askari fit, Hawa wataalamu wanakosa mazoezi ya utimamu ya kutosha. Acheni kudanganyana eti yeyote anaweza kukutwa na Hali hii. Hii ni physical fatigue inayosababishwa na kutokuwa na physical fitness.
Simaanishi kuwa CDO hawezi kukumbwa na changamoto ila the folks are quick to take cover!
Shuruba za Special Force siyo za kuja kushindwa kustahimili kusimama muda mrefu.
Hawa wataalamu wapatowe
maandalizi ya paredi gani? Au hata hujui maana ya paredi?
Umejijaza kama vile wewe ndio Mmiliki wa Shinda Maumivu. 😂😂😂 Punguza ujuaji. Niliposema Uangukaji wa Askari hautakua sawa na Civ. Umei acknowledge tayari🫂 hizo zingine sio mahala pake. Halafu waongeaji sana wa 92 Huwa ni Anti terrorist tu😂😂 Ila Amphibian na L.Special they dont give a damn Shit hapa. Jibu ni sawa sawa Imeisha
 
Kazi gani unaifanya na hupati muda wa kujifua ( kujiweka fit) ?
Mzee acha kuleta hoja nyepesi. Quality matters!
Paredi na ulinzi wa mkuu wa nchi ni mambo tofauti sana.
Anyway pole kwa mtaalamu. Inshallah atakaa sawa.
Pared kuna kipindi cha uvumilivu na ndio kipindi kigumu sana kuliko ata kutembea katika kipindi iko ata nzi akikitaka kuingia mdomoni si ruhusa kumfukuza na ndio watu wengi hali kama ya huyo mlinzi huwatokea hapo haichagui mwanamke au mwanaume

Ratiba yake nitofauti kabisa huyo kwenda kupumzika ni mpaka wamfikishe rais kwake na hawaruhusu kuondoka ndio wasepe

Akifika home labda saa sita usiku mume anataka haki yake saa kumi kadamka kujiandaa wanatakiwa kufika kwa rais kabla ya yeye kuamka jua ilo
 
Umejijaza kama vile wewe ndio Mmiliki wa Shinda Maumivu. 😂😂😂 Punguza ujuaji. Niliposema Uangukaji wa Askari hautakua sawa na Civ. Umei acknowledge tayari🫂 hizo zingine sio mahala pake. Halafu waongeaji sana wa 92 Huwa ni Anti terrorist tu😂😂 Ila Amphibian na L.Special they dont give a damn Shit hapa. Jibu ni sawa sawa Imeisha
Umemjaza kisukari mwenzio
 
Labda amevuja damu nyingi kwenye siku zake(period). Wanawake Wana complications nyingi, wanapaswa kufanya kazi ndogo ndogo tu. Mambo ya gender equality yatawatesa sana
Ndo tujue kuwa hoja za haki sawa ni upuuzi. Tuna fursa sawa ila hatuna haki sawa.

Na kimsingi Hawa wadada wanaumia sana kwa hizi kazi za kuhangaika na ulinzi. Kwa shughuli kama hizo, wangekuwepo wanaume hata kama rais ni mwanamke. ADC anakuwa mwanamke ila sio lazima asimame muda wote na pia asiwe mmoja kutokana na uhalisia wa kubaiolojia wa wanawake.

Pia sionagi sababu za walinzi wengi kumzunguka raisi nyuma na mbele, ni jambo lililopitwa na wakati. Ikiwa unaongoza wananchi ambao wanakupenda una sababu Gani za kuzungukwa na miwatu inayokulinda kama vile ni Rais wa Marekani uko Iran
 
Unasahau yule ni binadamu
Anything can happen kwenye mwili wa mtu

Possible presha ilishuka gafla

Hata jk iliwahi kumtokea sijui kama ulikuwa umezaliwa
Jk alikuwa ana bamiza Sana pale jangwani 😸
 
Poppy wakati wa Mwalimu mambo kama haya yalikuwa yanatokea hayarekodiwi au hayakutokea?

Mtu wa mazoezi kama Ben Mashiba alikuwa anaweza kuweweseka hivi kweli kwa kusimama tu?

Kuna tatizo kwenye recruitment siku hizi au hii ni suala la kuwa human tu?
Mimi nadhani binadamu yeyote yule suala kama hilo linaweza kumtokea sehemu yoyote ile.

Hata walinzi wa Rais ni binadamu pia.

Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1996. Kuna watu waliandaa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Rais Nyerere.

Alikuwa anafikisha umri wa miaka 74. Sikumbuki ilifanyikia wapi….could have been at the Diamond Jubilee hall.

Sasa wakati Rais Nyerere anatoa Maneno ya shukurani, akasema kwamba hana shaka kuwa naye ataishi muda mrefu na kutimiza miaka 100, umri ambao mama yake mzazi aliufikia.

Akasema kwamba haoni sababu ya kwa nini hatofikia umri huo maana afya yake ni njema.

Akasema labda apondwe na gari/ basi ndo labda hatoufikia umri kama huo wa mama yake.

Fast forward three years later, what happened?

And compared to most Tanzanians or even most people around the world, he probably had access to the best healthcare.

Presidential bodyguards are human beings also. They get sick just like the rest of us do.
 
Ubinafsi, ubinafsi, ubinafsi, mtu amejichokea lakini anang'ang'ania Tu matokeo yake ndio Haya.....
 
Hujui kitu mkuu usiseme ivyo ushawai piga paredi au kuona maandaliz ya paredi?
Anasikia sikia tu watu hua wanakaa kwenye kwata sio wanawake sio wanaume, sema ndio hivyo tu ukiwa ni mtu ambae umeshapitia hayo mambo huwezi kushangaa unajua tu nini kimesababisha yote mpaka ikawa vile 'fatigue' ni issue nyingine yaan inaweza kukukumba popote siku usiyoitarajia na ukiwa kwenye hio hali usije ukaulizwa maswali ya ghafla ya hapo kwa hapo unaweza ukatoa majibu ambayo hata wewe mwenyewe baadae ukitulia unaweza ukashangaa yule aliekua anajibu ni wewe au ni mtu mwingine kumbe ni 'fatigue'
 
Nakumbuka kuna jamaa mbavu siku zote alikuwa anawacheka wanao anguka sasa siku hiyo ikawa zamu yake mbaya alikuwa mbele kabisa watu wakanza kumzoea ile ya ole wako uanguke aliangukia silaa nusu atoe jicho mzee afu sijui inakuwa nini mbele unaona giza masikio unasikia yanalia nzziiiiiiiiii ukifumba macho ndio unaanguka kabisa dah
 
Mbona hii hali inaweza kutokea tu msikuze mambo

N
💯%!

Tumeshuhudia wanamichezo wakidondoka uwanjani!

Ni hali inayoweza kumtokea mtu yeyote yule.

Watu sijui wanasahau kuwa hao walinzi nao ni binadamu tu kama binadamu wengine.
 
Mlinzi wetu naye macho yake yalianza kuwa kama huyo ofisa wa Obama, macho yalianza kuonesha kama mtu aliyepata mfadhaiko wa kukakamaa kuelekea kupoteza fahamu n.k

Tofauti timu ya ulinzi ya Obama walichukua hatua haraka zaidi kama inavyotakiwa
Mlinzi gani wa Obama unayemzungumzia wewe?
 
Nakumbuka kuna jamaa mbavu siku zote alikuwa anawacheka wanao anguka sasa siku hiyo ikawa zamu yake mbaya alikuwa mbele kabisa watu wakanza kumzoea ile ya ole wako uanguke aliangukia silaa nusu atoe jicho mzee afu sijui inakuwa nini mbele unaona giza masikio unasikia yanalia nzziiiiiiiiii ukifumba macho ndio unaanguka kabisa dah
Acha kabisa watu wanapigwa kwata mpaka wanataka kurudi walipotoka hakuna kurudi nyuma
 
Aache hiyo kazi akafanye kazi zingine kama Afya imemgomea.
Hio hata wewe siku ikikuotea inakupata na baadae utasema sio wewe yule alie 'faint' ila km hujawahi kuingia huko na kuona kimbembe kilivyo na yanayotokea lazima uishie kuropoka km hivyo sawa askari mguu chini
 
Back
Top Bottom