peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
JK mwenyewe alianguka! Mwili wa mtu unaweza kureact naturally wakati wowote bila kujali wewe ni nani. Mungu amrejeshe huyobdada yetu katika afya yakeNi hatari Sana, huwa hawafanyi uchunguzi wa afya zao hospitalin!!!? Au ni uchovu tu.
Kiongozi wa nchi na huyo mlinzi wake wote ni binadamu,, uhai wao upo chini ya mapenzi ya Mungu.Hao wanaokufa Gym wanatumia steroids mimi naongelea mfanyakazi alieajiriwa na taasisi kumlinda kiongozi wa nchi.
Hakuna kikosi cha jeshi ambacho hakina Jiko na Zahanati. Tuache kumsingizia Mungu kwa uzembe wetu wenyewe. Watu wanabebana sana mwishowe tunapata walinzi wasio na sifa.Kiongozi wa nchi na huyo mlinzi wake wote ni binadamu,, uhai wao upo chini ya mapenzi ya Mungu.
Magufuli alikuwa analindwa mpaka na helikopta, ilipofika tarehe 17 March 2021 ulinzi wake wa mabilioni ya shilingi haukuweza kumsaidia.
Mkuu unaendelea kuongea kama vile Mungu unampigia simu muda wowote ule. Baya linapokukuta halichagui sehemu gani unapokuwepo.Hakuna kikosi cha jeshi ambacho hakina Jiko na Zahanati. Tuache kumsingizia Mungu kwa uzembe wetu wenyewe. Watu wanabebana sana mwishowe tunapata walinzi wasio na sifa.
Yeye anashinda chumbani kwake akiwa na laptop anadhani yupo sawa na hao walinzi wanawake wanaoshinda juani siku nzima wakizunguka na rais.Amiri jeshi mkuu mwenyewe alianguka sembuse mlinzi? Huyo ni binadamu hata kama kapiti mafunzo ya namna gani hayambadilishi kuwa chuma
Ndugu kuna Mungu na uzembe sisi waaafrika tupo nyuma kwa sababu tunamsingizia Mungu uzembe wetu. Huyo mlinzi anakula kama RAIS na analala anapolala Rais. Mtu aliyepitia mafunzo magumu anapigana juu chini apate kitengo kama hicho. Na baada ya kupitia mafunzo anaweza asitumie mafunzo yake 98% anapomlinda Rais. Maana unaajiriwa mpaka Rais anamaliza muda wake hamjawahi hata kushambuliwa na mawe. Hii ni kengele kwa usalama waache kubebana kuna watu wana uwezo hawana ajira mtaani. Kuna wanajeshi wapo wanalilia kitengo kama hicho hawapewi.Mkuu unaendelea kuongea kama vile Mungu unampigia simu muda wowote ule. Baya linapokukuta halichagui sehemu gani unapokuwepo.