VIDEO: Msanii mchekeshaji wa Kenya, Erick Omondi amuigiza Rais John Magufuli (How to be)

haaa lols nimependa last part.. Magufuli anaona bora apande baskeli kwenda Moro na sio Benzi...ili asave pesa lols
 
Reactions: MC7
Roho inawauma wakiona maguful anajulkana kwa mema adi nje ya nchi... hongera rais wangu, sasa najivunia kuwa mtanzania na kuwa na rais kama ww, rais wa kuigwa na marais wengine, watu wanataman rais wao awe magufuli au kama magufuli
 
Hajapatia kabisa...magufuli bila kutumbua.
 
Reactions: MC7
Duh, angekuwa Bongo huyu sijui ingekuwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…