VIDEO: Msanii mchekeshaji wa Kenya, Erick Omondi amuigiza Rais John Magufuli (How to be)

VIDEO: Msanii mchekeshaji wa Kenya, Erick Omondi amuigiza Rais John Magufuli (How to be)

Wakenya leo Wameshambuliwa huko Mandera, kwa nini huyo chizi asiigize namna ya kuwafanya vijana wa Kenya wasijiunge na Al shabaab?

Na kwa Taarifa yenu ninyi Wakenya Mtaendelea kupigwa hivo hivo na Alshaabab...
 
Watanzania tunaogopa kivuli cheti. Maana watu wanalalamika, oh hawa Wakenya!!! Yaani tumeshajazwa uchochezi. Tumeambiwa ni comedy, ingetosha kuiona kuwa ni comedy na kujadili kama kweli imeweza kugusa uhalisia.
 
3924FF7800000578-0-image-a-12_1475707924853.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia.

Baada ya kufanya ile ya mambo ya kuzingatia kwa wale wanaotaka kuwa kama Diamond Platnumz, Akothee, leo katusogezea nyingine ambayo inamhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Eric Omondi katuletea mambo muhimu unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama Rais Magufuli
 
Aisee, hii sio komedi, huu ni ukweli mtupu, ngoja tusubiri komedi ya kina joti sijui wataigiza nini, joti anapenda kuigiza kama mwanamke
 
kutia porojo na kusema ni rahisi sana. Vitendo ndio ngumu.....
 
Huyu naye aigize wasanii wa bongo flavor kwa kumuigiza Magufuli ameboogie
 
Roho inawauma wakiona maguful anajulkana kwa mema adi nje ya nchi... hongera rais wangu, sasa najivunia kuwa mtanzania na kuwa na rais kama ww, rais wa kuigwa na marais wengine, watu wanataman rais wao awe magufuli au kama magufuli
Wakina nani hao?
 
Sijui sheria zetu zinasemaje kuhusu wachochezi ambao wako nje ya mipaka yetu,lkn jamaa anaweza balaa
 
Back
Top Bottom