sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,739
angalia hio video kuna sehem Erick anakuwa anauliza ile radia call inaongea lugha gani[emoji23] [emoji40]Inaongea "lugha gani" maana yake haijajulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia hio video kuna sehem Erick anakuwa anauliza ile radia call inaongea lugha gani[emoji23] [emoji40]Inaongea "lugha gani" maana yake haijajulikana
Hapa katupiamo dongo.hivi hii inaongea lugha gani? mbona sielewi inaongea lugha gan? Tutumie kiswahili bwana tupende kiswahili. Big DONGO.
unlmemstukia kama Mimi mkuu eeh, alafu limejificha kwenye comedyHapa katupiamo dongo.
Mtatumia kila mbinu lakini muda ndio kipimo.
Leo watu wanafukuzwa na video hii inatoka!!!
Aisee kweli tunakazi kweliHuyo erick anawachekesha wajinga am sorry, not sorry
BavichaaaaWakina nani hao?
Wanatudharau sana sana mkuuHivi wakenya wanatuonaje!!!?
Naomba waziri anayehusika atusaidie. Huu ni udhia. Watanzania tunamhashimu mkuu wetu halafu wao wanafanya utani.
Mimi sijaona kichekesho Bali naona udhia....ni kama katudharau sijaipendaKama huyo mchekkeshajii angelikuwa Tanzaniia biila shakka saa hizii angekuwa Segerea au keshalipa mliioni saba.