Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,536
Ahahahahivi hii inaongea lugha gani? mbona sielewi inaongea lugha gan? Tutumie kiswahili bwana tupende kiswahili. Big DONGO.
Wakina nani hao?Roho inawauma wakiona maguful anajulkana kwa mema adi nje ya nchi... hongera rais wangu, sasa najivunia kuwa mtanzania na kuwa na rais kama ww, rais wa kuigwa na marais wengine, watu wanataman rais wao awe magufuli au kama magufuli
Inaongea "lugha gani" maana yake haijajulikanahivi hii inaongea lugha gani? mbona sielewi inaongea lugha gan? Tutumie kiswahili bwana tupende kiswahili. Big DONGO.