mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Mbona Kipanya hajafungwa? Msiwe na mihemkwo ya povu la sodaKama huyo mchekkeshajii angelikuwa Tanzaniia biila shakka saa hizii angekuwa Segerea au keshalipa mliioni saba.
Mkuu acha uongo, wakenya wanamkubali magu mbaya kabisaWanatudharau sana sana mkuu
Naomba waziri anayehusika atusaidie. Huu ni udhia. Watanzania tunamhashimu mkuu wetu halafu wao wanafanya utani.
Acheni Unafiki wa tz..!Mbona trump anaigizwa.
Naomba waziri anayehusika atusaidie. Huu ni udhia. Watanzania tunamhashimu mkuu wetu halafu wao wanafanya utani.
Yeah ila inafundisha mambo muhimu sana.Yah mda sana hii
Mwaka gani?Yah mda sana hii
Mwaka gani?
Ndio maana sioni chochote kinachofanana na anayemuigiza, alikuwa hamjui bado.Sikumbuki ila nadhani 2016