VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

Polisi awe uniformed au kiraia ni lazima afuate TARATIBU.

Katika mazingira ya kukamatwa kina Roma mambo yafuatayo yalitakiwa yakamilike kabla ya wao kukubali wito/kuingia kwenye gari.


1 Wahusika waliofika studio walipaswa kujitambulisha--ni kina nani, na wamefuata nini.

2.Walipaswa kueleza wanampeleka wapi Roma na wenzake.

3.Roma na wenzake walikuwa na haki ya kuwasiliana na ndugu(mke,mzazi, ndugu, wakili, bosi..) zao kuwaeleza "ugeni" walioupata na kinachoendelea.

4.Kabla ya vifaa vya studio kuchukuliwa mwenye studio/mwenye mali alipaswa kutaarifiwa. Hawezi kuja mtu mahali umeajiriwa halafu akachukia vitu vya mwenye mali na wewe uliyekabidhiwa mali hizo uruhusu jambo hilo bila kupata baraka za mwenye mali.

5.Yeyote aliyebaki studio alipaswa kunakili namba za gari iliyoondoka na kina Roma.

6.Kama issue ilikuwa ni kuhitajika kituo cha Polisi, Roma na wenzake walikuwa na haki ya kuomba waende kituoni kwa kutumia usafiri wao wenyewe.
 
Ni nani aliyekuambia Roma alitekwa na polisi ? Assumption zako zote zimetokea hapo, na hauna ushahidi wowote, mzee wewe jiheshimu, acha hayo mambo wafanye kina Salary Slip na wenzie

..wangefuata hatua nilizozieleza hapo juu kusingekuwa na mashaka yoyote kama walitekwa na Polisi au wahalifu wengine.
 
Hapa ndio utawajua Wadanganyika Matukio. Kila mtu atajidai ni mjuvi wa mambo, mdadavuaji. Hii ni tabia ya wadanganyika kufuta upepo "political mongers ".

Japo kuwa sisi tumekuwa NA tabia nyingi za kinafiki na tuu wajiaji sana.

Lakini kuhusu hili la kutekana kwa staili hii ya kina Roma, nadhani iko haja ya akina Makonda, Roma, wenziwe waliotekwa , mashahidi walioachwa na watekaji, mwenye studio kudadisiwa NA upelelezi.

The truth must be known, kwani mchezo huu unaweza kupata waigizaji wengi NA kutuletea maafa, it has to be stopped period.
 
Bongo mnatuona wote watoto wadogo watu watishie uhai wako kuelezea ukweli unahitaji ukapumzike kama na wewe ulifukiwa na kifusi...
 
Mkuu hayo yote unaandika baada ya kumhoji/kumsikiliza Roma au unatabili? Maana yeye alisema ataongea na vyombo vya habar kesho au kaongea leo?
 

Kwa kuongezea:
1.Watekaji walikua hawamjui ROMA si angeweza hata kukimbua
2.watekaji tujue walikua MAJAMBAZI AU POLISI?
3.Theory ya utekaji(kidnaping) ni MALIPO AU KISASI na pia source ya utekaji ni SIASA,KIKI,AU VITISHO??
4.MATEKA tunasikia simu zao zilikua zinapatikana na ROMA baada ya kutoka na kutoa maelezo anasema alikua anafuatilia ktk mitandao

Movie hii j3 inakufa endapo WAANDISHI WA HABARI wataweka MAHABA pembeni na kuwabana maswali magumu
 
Mkuu hayo yote unaandika baada ya kumhoji/kumsikiliza Roma au unatabili? Maana yeye alisema ataongea na vyombo vya habar kesho au kaongea leo?

..sina uhakika kama maswali hayo yataulizwa watakapoongea hiyo kesho.

..lakini pia nilikuwa najaribu kuelekeza hatua za kuchukua unapokutana na situation inayofanana na hii ya kina Roma.
 
Kwani Mkuu umeshapata uhakika kuwa walitekwa na polisi au unaongea kwa hisia tuu
 
..sina uhakika kama maswali hayo yataulizwa watakapoongea hiyo kesho.

..lakini pia nilikuwa najaribu kuelekeza hatua za kuchukua unapokutana na situation inayofanana na hii ya kina Roma.
Unajua tofauti ya kutekwa na kuchukuliwa na vyombo vya usalama?
 
Mkuu unaongea kama vile mgeni ndani ya nchi hii....Ukiacha matukio mengi yanayotokea nyuma ya pazia Wote tuliona kilichomtokea Nape tena mbele ya Camera za waandishi wa habari.

Kauliza kitambulisho kwa ustaharabu katolewa Bastola.
 
Mkuu unaongea kama vile mgeni ndani ya nchi hii....Ukiacha matukio mengi yanayotokea nyuma ya pazia Wote tuliona kilichomtokea Nape tena mbele ya Camera za waandishi wa habari.

Kauliza kitambulisho kwa ustaharabu katolewa Bastola.

..tukijenga UFAHAMU kwa raia wetu kuhusu HAKI zao mambo ya kutolewa BASTOLA yatapungua.

..inawezekana hata Polisi nao hawafundishwi jinsi ya kufanya kazi zao huku wakizingatia sheria, taratibu, maadili, na utu.
 
..je na wewe una uhakika kama hawakutekwa na polisi au unaongea kwa hisia tu?
Sina uhakika ndio maana nipo kimya nasubiri hiyo Jumatatu,sasa mkuu hadidu zako zinaonesha kabisa ni polisi wamefanya hivyo ndio maana nikakuuliza
 
Kama Nape aliweza kuzuiwa kizembe na bastola juu. Roma ataweza kuuliza hata swali moja. Kuwa na akili ya kuchanganua. Magamba msijifanye hamjuwi mambo yenu mnavyofanya.
 
Ilikweli muvi yan watekaji wanamuadisia yanayo endelea mtandaoni duuh
 
ROMA imetekwa na PAPA na kuifanya VATICAN usiongopee watu[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Sina uhakika ndio maana nipo kimya nasubiri hiyo Jumatatu,sasa mkuu hadidu zako zinaonesha kabisa ni polisi wamefanya hivyo ndio maana nikakuuliza

..ok.

..mimi sina subira kama wewe.

..nitaongea-ongea mpaka kesho and probably beyond that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…