Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

Tutapiga ambush mda sio mrefu muende mkahutubie bunge la Somalia
 
Putin kawaambia malizeni kwanza njaa.Dunia nzima kumbe inajua kama Kenya kuna njaa[emoji2][emoji28]
 
Mpaka sasa Rais wa Ukraine ameshahutubia mabunge 10, jana alikuwa anawalilia Japan, alipotoka akaanza kulilia dunia kuwa leo tuandamane dunia nzima, sasa unashangaa mbona kila siku analia lia yeye tu kama mambo yake ni mazuri?
Ni ujinga kushabikia nchi moja kuvamia nchi nyingine.
 
Tunashangaa kufa vitani kawaida, ila anae ongoza kwa kulia lia ni Rais wa Ukraine, kwahiyo tuna imani na jeshi letu la Urusi kuwa dawa inafika vizuri
Unadhani Putin halii?analia kilio Cha samaki machozi yanaenda na maji!angalia kila wiki makamanda wake wanakufa,ndege zinaangushwa,vifaru vinaharibiwa,nchi umeishiwa nahitaji muhimu,vikwazo kila Kona! kaishia kuwaweka vizuizini maafisa wake wakubwa kwa hasira na uchungu,kuniambia Putin halii sio kweli sema Yule jamaa ana kiburi na pride hataki kuonyesha udhaifu ilihali moyoni ana msiba mzito....
 
Na hiyo ndio tabia ya mwanaume , sio mwanaume kila siku unalia lia mitandaoni tu kama mtoto mdogo, Putin is a real man anafanya mambo yake anapojikwaa anatafuta solution
 
Na hiyo ndio tabia ya mwanaume , sio mwanaume kila siku unalia lia mitandaoni tu kama mtoto mdogo, Putin is a real man anafanya mambo yake anapojikwaa anatafuta solution
Ngoja apitiwe na kiharusi ndio atujua kulia kama samaki sio poa.
 
Yaani inaelekea putin anatafuta mlango wa kutokea vita kashindwa hakutegemea. Tatizo atawaambia nini warusi maana majeneza yameanza kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…