Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

Nilimsikia mtaalamu mmoja ana sema usijifukize zaidi ya dakika tano, usichanganye miti, watoto na mtu yeyote mwenye presha wasijifukize
Sina shaka unakumbuka kilichompata huyo mtaalamu!
Kwa wakati huu, waliosoma kwa ajili ya AJIRA, hawana budi kuukana utaalamu wao waliousomea, ili kuulinda UGALI wao! Mifano hai tumeishuhudia!
Wapo hata radhi KUTOKUVAA BARAKOA maeneo hatarishi, ili tu kumfurahisha MWAJIRI, ambaye si mtaalamu wa mambo ya afya!
 

Muhurumie mwenzio yupo hapo kwa sababu ya Mbowe na washiriki wenzake.
 
Kuna haja ya kuanza kutofautisha aina za Wanyakyusa,Mwandosya angekuwa Mnyakyusa wa aina hii asingeshindwa kuhudumu katika serikali hii.

Tuli sijui anafeli wapi?Wanyaki wa Rungwe hapo hivyo kabisa..

Na mnyakyusa -wa-ndali vipi mkuu?
 
Africa bado tuna safari ndefu sana kuifikia civilization!!

Kama Prof ni hivi je wa la saba!!
 
Jifukize haya majani ya haya maua/mimea na unarudi kwa Muumba bila kuaga!!

 

Attachments

  • 1590069164511.png
    33.8 KB · Views: 1
  • 1590069164263.png
    33.8 KB · Views: 1
  • 1590069297766.png
    22.5 KB · Views: 1
Haaaaa kumbe nao wanajifukiza kitu chochote bila kukifanyia utafiti wa kisayansi?
 
Dawa zetu za asili hazihitaji kupitishwa na WHO
Hata nchi kama INDIA,. CHINA nk wanadawa zao za asili na hazitambuliwi na WHO
 
Dawa zetu za asili hazihitaji kuthibitishwa na WHO
Hata nchi kama INDIA,. CHINA nk wana dawa zao za asili na hazitambuliwi na WHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…