Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

Nilimsikia mtaalamu mmoja ana sema usijifukize zaidi ya dakika tano, usichanganye miti, watoto na mtu yeyote mwenye presha wasijifukize
Sina shaka unakumbuka kilichompata huyo mtaalamu!
Kwa wakati huu, waliosoma kwa ajili ya AJIRA, hawana budi kuukana utaalamu wao waliousomea, ili kuulinda UGALI wao! Mifano hai tumeishuhudia!
Wapo hata radhi KUTOKUVAA BARAKOA maeneo hatarishi, ili tu kumfurahisha MWAJIRI, ambaye si mtaalamu wa mambo ya afya!
 
You are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda uraya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.

You are not exposed or most particulary elimu ya kuunga unga

Muhurumie mwenzio yupo hapo kwa sababu ya Mbowe na washiriki wenzake.
 
Kuna haja ya kuanza kutofautisha aina za Wanyakyusa,Mwandosya angekuwa Mnyakyusa wa aina hii asingeshindwa kuhudumu katika serikali hii.

Tuli sijui anafeli wapi?Wanyaki wa Rungwe hapo hivyo kabisa..

Na mnyakyusa -wa-ndali vipi mkuu?
 
Africa bado tuna safari ndefu sana kuifikia civilization!!

Kama Prof ni hivi je wa la saba!!
 
wewe subiria za wazungu umezidiwa akili hata na masai wasiosoma ambao wana dawa za kimasai zinauzwa hadi ulaya na marekani

dawa za kimasai hakuna TBS wala mzungu wala mwanasayansi kadhibitisha na tunazinywa vizuri wewe endelea kunywa panadol za wazungu
Jifukize haya majani ya haya maua/mimea na unarudi kwa Muumba bila kuaga!!

1590069140796.png
1590069163886.png
1590069258442.png
1590069297659.png
 

Attachments

  • 1590069164511.png
    1590069164511.png
    33.8 KB · Views: 1
  • 1590069164263.png
    1590069164263.png
    33.8 KB · Views: 1
  • 1590069297766.png
    1590069297766.png
    22.5 KB · Views: 1
You are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda uraya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.

You are not exposed or most particulary elimu ya kuunga unga
Haaaaa kumbe nao wanajifukiza kitu chochote bila kukifanyia utafiti wa kisayansi?
 
Dawa zetu za asili hazihitaji kupitishwa na WHO
Hata nchi kama INDIA,. CHINA nk wanadawa zao za asili na hazitambuliwi na WHO
 
Dawa zetu za asili hazihitaji kuthibitishwa na WHO
Hata nchi kama INDIA,. CHINA nk wana dawa zao za asili na hazitambuliwi na WHO
 
Back
Top Bottom