Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Hii nchi ni ya kiku.ma sana. Inashangaza wanaume wa Dar kushuhudia mtu anatekwa na watekaji mchana kweupe bila kuchukua hatua zozote za kumsaidia.
Hao ni Wanaume wa Kibaha
 
Saizi kutekwa sio habari ya kutisha tena.
Life speed
Kwenu nyie masisiyemu ambao ndio waratibu wa shughuli hizo, mnaona raha sana, utafika wakati, mtaanza kutekana masiyeyemu wenyewe kwa wenyewe
 
Alafu mnashangaa Congo inavyovamiwa na M23 alafu Wanajeshi wao Wanakimbia.

CCM kweli wameshalifanya taifa letu sasa kuwa kama Congo.
Watanzania wamekuwa wajinga na makondoo hadi wanashindwa kumtetea mtu anayefanyiwa udhalimu mchana kweupe?

Hilo Taifa limekufa tayari.
Yaani leo hii wakiingia M23 ndiyo itakuwa mwendo wa kushangaa tu mpaka wanafika sehemu fulani
 
"Hawawezi kuwa polisi"
"Hao ni masela tu wa mtaani, boda kala mke wa mtu"
"Huo ni ugomvi tu wa kitaa, mnawasingizia polisi"
"Mna chuki zenu binafsi na polisi"

Asante sana kwa jamaa aliyerecord na akaamua kushare, lasivyo huu muda waliomshika pamoja na raia tungekuwa tunamtafuta.
 
Mkuu Bastola na Bunduki ni Silaha za mwisho kabisa kugundulika Duniani zinaogopwa na Makomando na makachero wa aina yoyote.

Hii silaha haina Swalia mtume.

Ukiishika vizuri Komando wa Vita ananyosha mikono unless na yeye anayo
Utaua watu zaidi ya 10? Ukute ilikuwa na risasi mbili tu😃
 
Povu! Hayo umesema wewe.
Kijiwe kina watu wangapi atekwe yeye??
KWamba ni wachuna ngozi na ngozi yake ndio yakipekee hadi waje hadharani kumchukua?
Ni mwanasiasa kwamba wametumwa na wapinzani wake?
Mfanyabiashara ???
Hizo ni kesi binafsi anajua huyo boda na waliomfuata wamalizane mambo yao atarejea kijiweni
1740237249325.png
1740237249325.png
 
wote wanao tekwa kama kina kibao huwa wamefanya michezo michafu?

Au kwa vile clip imekaziwa .. ..?
 
Back
Top Bottom