Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Hii nchi ni ya kiku.ma sana. Inashangaza wanaume wa Dar kushuhudia mtu anatekwa na watekaji mchana kweupe bila kuchukua hatua zozote za kumsaidia.
Hao ni Wanaume wa Kibaha
 
Saizi kutekwa sio habari ya kutisha tena.
Life speed
Kwenu nyie masisiyemu ambao ndio waratibu wa shughuli hizo, mnaona raha sana, utafika wakati, mtaanza kutekana masiyeyemu wenyewe kwa wenyewe
 
Yaani leo hii wakiingia M23 ndiyo itakuwa mwendo wa kushangaa tu mpaka wanafika sehemu fulani
 
"Hawawezi kuwa polisi"
"Hao ni masela tu wa mtaani, boda kala mke wa mtu"
"Huo ni ugomvi tu wa kitaa, mnawasingizia polisi"
"Mna chuki zenu binafsi na polisi"

Asante sana kwa jamaa aliyerecord na akaamua kushare, lasivyo huu muda waliomshika pamoja na raia tungekuwa tunamtafuta.
 
Mkuu Bastola na Bunduki ni Silaha za mwisho kabisa kugundulika Duniani zinaogopwa na Makomando na makachero wa aina yoyote.

Hii silaha haina Swalia mtume.

Ukiishika vizuri Komando wa Vita ananyosha mikono unless na yeye anayo
Utaua watu zaidi ya 10? Ukute ilikuwa na risasi mbili tu😃
 
 
wote wanao tekwa kama kina kibao huwa wamefanya michezo michafu?

Au kwa vile clip imekaziwa .. ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…