Sheria inatoa haki za mkamataji na mkamatwaji.Huwezi ingia usiyojajua either ni jambazi au mla wake za watu kadakwa
Mkamataji anatakiwa apresent ID yake kwa anayemkamata hasa hao askari [kama ni kweli ] wasio na sare.
Mkamatwaji anatakiwa atajiwe kosa analokamatiwa na kuonyeshwa ID ya askari huyo.
Kinyuma na hapo mkamataji atakuwa ametenda kosa , na mkamatwaji akitajiwa kosa na kuonyeshwa ID akagoma atapata kosa la "resisting arrest" litakalojmuishwa baadae hivyo mkamataji atatumia nguvu stahiki kadiri awezavyo kumkamata mlengwa.
Hao walivyokaa kichekibobu na wanavyotoa silaha kiholela hivyo wanatia shaka kama kweli ni askari bali ni watekaji tu.