Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Huwezi ingia usiyojajua either ni jambazi au mla wake za watu kadakwa
Sheria inatoa haki za mkamataji na mkamatwaji.

Mkamataji anatakiwa apresent ID yake kwa anayemkamata hasa hao askari [kama ni kweli ] wasio na sare.

Mkamatwaji anatakiwa atajiwe kosa analokamatiwa na kuonyeshwa ID ya askari huyo.

Kinyuma na hapo mkamataji atakuwa ametenda kosa , na mkamatwaji akitajiwa kosa na kuonyeshwa ID akagoma atapata kosa la "resisting arrest" litakalojmuishwa baadae hivyo mkamataji atatumia nguvu stahiki kadiri awezavyo kumkamata mlengwa.

Hao walivyokaa kichekibobu na wanavyotoa silaha kiholela hivyo wanatia shaka kama kweli ni askari bali ni watekaji tu.
 
Ndo mana tunavyosema CCM wameifanya Tanzania kuwa kama Mobutu alivyoifanya Congo mtuelewe.

Hayo ndo matokeo ya Watawala kutengeneza vizazi vya waoga, machawa, wavivu, wajinga na wapenda starehe!
Mkuu ni wewe ulikuwa unatetea DP World au ni mwingine?
 
Umesoma neno bunduki?
atalenga watu wangap ? je atabakia salama? ubinafsi utafanya leo atekwe huyo , kesho ni ww hlf mtatekwa wote kisa mnaogopa mtutu.

ww na kondoo mnatofauti gan
 
sheria zinaruhusu ? au mnataka taifa liende kibangi bangi namna hii ?
 
Hiv mkuu unadhan hapo waliokuwa wanashangaa hapo wangesogea hata watu 20 huyo jamaa wangemchukua? Tatz linakuja n uoga wetu tuliotengenezewa
Hao watu 20 labda wawe wa mbeya ,mara lakini sio pwani na dar , huko wamejaa wanawake watupu.
 
Mm namsifu aliyechukuwa hiyo video maana amerahisisha watu kufuatilia na kupitia jukwaa hili wadau watatupatia jina LA mmiliki wa gari
Unategemea hiyo namba ni ya hiyo gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…