Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama una hasira mkuu!!Kwenu nyie masisiyemu ambao ndio waratibu wa shughuli hizo, mnaona raha sana, utafika wakati, mtaanza kutekana masiyeyemu wenyewe kwa wenyewe
Sasa mkuu hivi kwan idara ya polisi wamekaa kwrnye vikao wakatumia think tanks wa kanda zote wakaona hiyo ndo style bora ya kuwakamata wahalifu??. Je wanajua wanachokipanda kwa raia dhid ya idara za usalama?.Boda kafanya michezo michafu huyo acheni kutetea mambo msiyoyajua. Vijana acheni tamaa ndio zinawaponzaga mfe mapema
Huko ni kule kwenu kongoWapi huko Kongo,Dar,nk?
Mim ninaamin we ni mtu smart sana, kwahyo hayo matukio kuhusishwa na idara za usalama unamaanisha kwamb hao vijana wanakula wake za maofisa salama tuu?.wake za watu sumu vijana bodaboda,
unadhani unaiba kwa siri, matokeo yake unapotezwa hadharini dah, inasikitisha sana na inafedhehesha mno,
Tamaa ni kitu mbaya sana ndugu zangu 🐒
Mi nnaa
Mim ninaamin we ni mtu smart sana, kwahyo hayo matukio kuhusishwa na idara za usalama unamaanisha kwamb hao vijana wanakula wake za maofisa salama tuu?.
Na kama ni raia nihalali au ni salama kutumia silaha zao kulipa visas vya mabusiano hadharani?, huoni kama wameidharau idara ya polisi kwa wanacho kifanya?.
Kama ni wanausalam(polisi) huon kama wao ndo wanafedhehesha jeshi na taifa na sio hao vijana?. Na kwa ujumla wake wew umeona kwrnye hayo matukio wanaofefheheka ni taifa au hao wanapotezwa/kamatwa.
Gentleman,Mi nnaa
Mim ninaamin we ni mtu smart sana, kwahyo hayo matukio kuhusishwa na idara za usalama unamaanisha kwamb hao vijana wanakula wake za maofisa salama tuu?.
Na kama ni raia nihalali au ni salama kutumia silaha zao kulipa visas vya mabusiano hadharani?, huoni kama wameidharau idara ya polisi kwa wanacho kifanya?.
Kama ni wanausalam(polisi) huon kama wao ndo wanafedhehesha jeshi na taifa na sio hao vijana?. Na kwa ujumla wake wew umeona kwrnye hayo matukio wanaofefheheka ni taifa au hao wanapotezwa/kamatwa.
Dizain kama mwenyew unaoneka akili yako imetatanika uko too personal, yaan umekaa kiselfish selfish zaid. Sis tunazungumzia taswira ya vyombo vya dola ktk haya matukio hata kama watuhumiwa wana hatia, wew unaleta mawaidha kwa raia.Gentleman,
kuepuka na usumbufu wenye utata kihivyo ni rahisi tu,
epuka tamaa na mali za watu na wake zao, epuka dhuluma, jitenge na magenge ya kihalifu, tii sheria za nchi bila shuruti na kua muaminifu na mwenye bidii kazini pako.
Nakuhakikishia kadhia hizo zenye utata zitakupitia mbali vinginevyo utakua hot news mitandaoni na kwenye vyombo vya habari,
Ishi vizuri na watu 🐒
Mkuu kazi ipo asee kwa mitizamo hii, daa!Kwahiyo wote wanaotekwa wanakula wake za watu na ni wezi????
Uko sahihi hata mimi nasadiki hivyo,kutokana na na elimu ndogo na uweledi mdogo wanavimba kichwa kwa kufanya kazi kwa staili ya kichawaNi kweli ila wanapaswa kuw identify kwa nguo rasmi hyo nayo wanakuw wako kinyume na P.G.O , kaz ya askar kanzu nikuchunguza tuu na kuwek mazngr wezeshi mtu akamatwe na c kukamata katk mazngr hatarsh kwake , hao either ni wahun tuu mwa mcmc
nimeshauri wadau wa jukwaa zima JF,Dizain kama mwenyew unaoneka akili yako imetatanika uko too personal, yaan umekaa kiselfish selfish zaid. Sis tunazungumzia taswira ya vyombo vya dola ktk haya matukio hata kama watuhumiwa wana hatia, wew unaleta mawaidha kwa raia.
Mkuu kazi ipo asee kwa mitizamo hii, daa!
nimeshauri wadau wa jukwaa zima JF,
ujiona wewe ni mwamba zaidi, basi shupaza shingo,
but hayo ni mawaidha yangu ya upendo kwa wadau wote JF, hakunaga ubinafsi JF.
wabinafsi hawakoment wala kupost chochote jukwaani wanakaa na ideas zao makwao ndani
Ushaur wako ni mzur, ila ni sawa na mtaalam wa kilimo kutoka africa ambaye amezoea kuhimiza kilimo cha mpunga.nimeshauri wadau wa jukwaa zima JF,
ujiona wewe ni mwamba zaidi, basi shupaza shingo,
but hayo ni mawaidha yangu ya upendo kwa wadau wote JF, hakunaga ubinafsi JF.
wabinafsi hawakoment wala kupost chochote jukwaani wanakaa na ideas zao makwao ndani 🐒
ni muhimu zaidi kuzingatia mawaidha hayo muhimu bila kujali wewe na mkulima au mfanyabiashara,Ju
Ushaur wako ni mzur, ila ni sawa na mtaalam wa kilimo kutoka africa ambaye amezoea kuhimiza kilimo cha mpunga.
Na kwa ujasiri huohuo, anashauri raia wa Alaska, Ireland, greenland na Siberia kujikita kwenye kilimo cha mpunga.

Ila jitahid kuwa flexible unaonekana una akili akili you are not too much addicted to politics.ni muhimu zaidi kuzingatia mawaidha hayo muhimu bila kujali wewe na mkulima au mfanyabiashara,
amani na usalama wako ni katika kuzingatia hayo gentleman
umenikumbusha mbali sana aise,Ila jitahid kuwa flexible unaonekana una akili akili you are not too much addicted to politics.
Jitahid kuwa unajikita kwenye hoja. Unaonekana unamwazo mazur ila yako locked na itikad flan. Jitahid kuwa relevant mjukuu wangu una kitu cha kuwafaa wadogo zako.
