Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko.
Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana.
Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake Dodoma walivo uliwa kifo cha kutisha, tafuta mwanaume ishi nae, single waachie mabinti wadogo ambao bado wanasubiri, au umri bado ila ukisha kua na majukum Fulani basi tafuta mwanaume chap watoto wakisha kua aunaeza Baki single tena, ila kwenye malezi, jitahidi mwanaume awepo ndani.