Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,949
- 8,590
Unaweza kuta huyo ni stepfather, ila sijapenda namna alivyokaa kwa starehe wakati moto unawaka kati ya Mama na mwana.Baba TIMAMU unaejielewa unaweza ona makabiliano kama hayo ukatazama tu?
Unaweza kuta huyo ni stepfather, ila sijapenda namna alivyokaa kwa starehe wakati moto unawaka kati ya Mama na mwana.Baba TIMAMU unaejielewa unaweza ona makabiliano kama hayo ukatazama tu?
Exactly, there you are.Baba wa kambo hataki kuingilia mambo ya mtu na mwanae
Huyo hajaonekana sura, hajulikani kama ni baba au muhuni tu, baba halisi Hilo teke alilo pigwa mtoto unaona ni sawa?Unaweza kuta huyo ni stepfather, ila sijapenda namna alivyokaa kwa starehe wakati moto unawaka kati ya Mama na mwana.
Ni maoni yangu tu boss huna haja ya kukasirikaUmeona huyo dogo kwanza alicho kua anajifanya? Kaenda kuzima tv kamvagaa mama yake we umekomalia dada basi leta na wewe stori Yako utwambie dada si mama
Jifanye unamuadabisha mtoto likukute jamboExactly, there you are.
Katoto kana ujasiri aiseeHuyo dogo safi sana wacha amnyooshe. ukiona dogo janja hakueshimu ujue kuna kitu kwako hakiko sawa
Wamama wanahuruma sana. anakupiga huku anakupuliza poleee baba umeumia.... jamaniiiNa bado mama analipiga kwa kulihurumia.
Haujaujua bado uchungu unaoweza kumpata mzazi pale anapogundua kwa macho yake namna mtoto wake anavyoharibika kimaadili,na siyo kumsukumia kwenye vyombo tu mwengine hata kwenye shimo atamsukumiza na atamtibu akiumiaUmeshawahi kuona mama anapiga mtoto wake hivyo? Yaani anampiga teke, anasukumia kwenye vyombo huko bila kujali mtoto anadondokea wapi?
Umeona eeh? Umri wenyewe wanaendana haoSidhani kama ni mama na mtoto, huyo atakuwa dada yake. Mtoto wa kiume huwa hana ujasili huo kwa mama yake mzazi...
😂😂😂My future Kid, asije kujaribu huu ujinga maana nitamvunja 🙆♀️Uwiiiii
Asante
Thats my African momNYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko.
Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana.
Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake Dodoma walivo uliwa kifo cha kutisha, tafuta mwanaume ishi nae, single waachie mabinti wadogo ambao bado wanasubiri, au umri bado ila ukisha kua na majukum Fulani basi tafuta mwanaume chap watoto wakisha kua aunaeza Baki single tena, ila kwenye malezi, jitahidi mwanaume awepo ndani.
Inategemea na malezi,kama mama alikuwa anaondoka alfajiri ya saa 11 kwenda kazini anamwacha mtoto na house maid mchana dada wa kazi akimwadhibu jioni anamweleza mama yake mama anaamua kumpiga Dada wa kazi mbele yake mpaka umri huo dogo anaona hakuna wa kumpiga hata kama mama yakeSidhani kama ni mama na mtoto, huyo atakuwa dada yake. Mtoto wa kiume huwa hana ujasili huo kwa mama yake mzazi...
Yupo hadi anapiga double kicks watoto wakeUmeona huyo dogo kwanza alicho kua anajifanya? Kaenda kuzima tv kamvagaa mama yake we umekomalia dada basi leta na wewe stori Yako utwambie dada si mama