Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Malezi ya upande mmoja hayajawhi kuwa malezi,hapo ni baba hamna nyumba ikiwa na baba sauti moja tu mtoto anaelewa iwe alimkosea mama bibi au mama.Daah, Maadili gani haya?
Mama yake huyo, inafika HATUa unashindwa kuvumilia matendo ya mwanaoHuo upigaji ni wa dada sio wa mama
Unaweza ukatutofautishia upigaji wa mama na upigaji wa dada wa kazi pale mtoto anapovuka mstari mbovu wa malezi?Huo upigaji ni wa dada sio wa mama
And the FATHER IS WATCHING?NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko.
Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana.
Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake Dodoma walivo uliwa kifo cha kutisha, tafuta mwanaume ishi nae, single waachie mabinti wadogo ambao bado wanasubiri, au umri bado ila ukisha kua na majukum Fulani basi tafuta mwanaume chap watoto wakisha kua aunaeza Baki single tena, ila kwenye malezi, jitahidi mwanaume awepo ndani.
DahAnd the FATHER IS WATCHING?
Umeshawahi kuona mama anapiga mtoto wake hivyo? Yaani anampiga teke, anasukumia kwenye vyombo huko bila kujali mtoto anadondokea wapi?Unaweza ukatutofautishia upigaji wa mama na upigaji wa dada wa kazi pale mtoto anapovuka mstari mbovu wa malezi?
Baba TIMAMU unaejielewa unaweza ona makabiliano kama hayo ukatazama tu?And the FATHER IS WATCHING?
Na bado mama analipiga kwa kulihurumia.NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko.
Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana.
Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake Dodoma walivo uliwa kifo cha kutisha, tafuta mwanaume ishi nae, single waachie mabinti wadogo ambao bado wanasubiri, au umri bado ila ukisha kua na majukum Fulani basi tafuta mwanaume chap watoto wakisha kua aunaeza Baki single tena, ila kwenye malezi, jitahidi mwanaume awepo ndani.
Baba wa kambo hataki kuingilia mambo ya mtu na mwanaeAnd the FATHER IS WATCHING?
Umeona huyo dogo kwanza alicho kua anajifanya? Kaenda kuzima tv kamvagaa mama yake we umekomalia dada basi leta na wewe stori Yako utwambie dada si mamaUmeshawahi kuona mama anapiga mtoto wake hivyo? Yaani anampiga teke, anasukumia kwenye vyombo huko bila kujali mtoto anadondokea wapi?
Mtazamo wako mdogo tu age ya mtoto na huyo mwanamke ni mtu na dada yake?Umeshawahi kuona mama anapiga mtoto wake hivyo? Yaani anampiga teke, anasukumia kwenye vyombo huko bila kujali mtoto anadondokea wapi?