Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

Unaweza kuta huyo ni stepfather, ila sijapenda namna alivyokaa kwa starehe wakati moto unawaka kati ya Mama na mwana.
Huyo hajaonekana sura, hajulikani kama ni baba au muhuni tu, baba halisi Hilo teke alilo pigwa mtoto unaona ni sawa?
 
Huyo dogo safi sana wacha amnyooshe. ukiona dogo janja hakueshimu ujue kuna kitu kwako hakiko sawa
 
Sidhani kama ni mama na mtoto, huyo atakuwa dada yake. Mtoto wa kiume huwa hana ujasili huo kwa mama yake mzazi...
 
Umeshawahi kuona mama anapiga mtoto wake hivyo? Yaani anampiga teke, anasukumia kwenye vyombo huko bila kujali mtoto anadondokea wapi?
Haujaujua bado uchungu unaoweza kumpata mzazi pale anapogundua kwa macho yake namna mtoto wake anavyoharibika kimaadili,na siyo kumsukumia kwenye vyombo tu mwengine hata kwenye shimo atamsukumiza na atamtibu akiumia
 
Thats my African mom
 
Sidhani kama ni mama na mtoto, huyo atakuwa dada yake. Mtoto wa kiume huwa hana ujasili huo kwa mama yake mzazi...
Inategemea na malezi,kama mama alikuwa anaondoka alfajiri ya saa 11 kwenda kazini anamwacha mtoto na house maid mchana dada wa kazi akimwadhibu jioni anamweleza mama yake mama anaamua kumpiga Dada wa kazi mbele yake mpaka umri huo dogo anaona hakuna wa kumpiga hata kama mama yake
 
Sijaona wakipigana, ila ni mtoto wa kiume akipigwa kikatili.
Ila safi sana, maana alionesha dharau na nidhamu mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…