nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Kabisa bila kusahau Sanitiser.
Kwani kipindi cha nyuma walikua wanaanguka namna hii huenda anakifafa sio mkuuWabongo bhana...
Siku hizi mtu kuanguka limekuwa jambo la ajabu?
Usikariri maisha...
Sio kila anaenguka ana corona wengine hawajala wana njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
great sinka naona una sink inWabongo bhana...
Siku hizi mtu kuanguka limekuwa jambo la ajabu?
Usikariri maisha...
Sio kila anaenguka ana corona wengine hawajala wana njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Da'Mange naye kafufuka?