Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

. ..Sawa Mkuu, lakini kwa mini Kuanguka huku kushike kasi sana kipindi hiki??
Huko nyuma haijapata kutokea watu Wanne\ Watano wakaanguka na kufa katika kipindi cha Massa 72 bila sababu za kueleweka Mkuu Prazora!!
Nahidi wewe ndio unataka kuishi kwa Mazoea Mkuu na sio hawa wanaohoji...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la Watu kuanguka halijashika kasi...

Ila kuwarekodi video watu wanaoanguka ndio kumeshika kasi...

Watu kuanguka na kufa ni jambo ambalo lipo toka zaman...

Tatizo hofu ya corona ni kubwa kuliko corona yenyewe, na huu ni ukweli ambao watu wengi hawaujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kuanguka ni matukio ambayo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo.


Wewe unaona haya matukio yanaongozana kwa kuwa siku hizi kila anayeanguka anachukulia video, kisha inatupiwa mtandaoni.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii mitandao haikuwepo mwaka jana? Hata kama si corona ila kuna kitu kisicho cha kawaida......imekuwa too much
 
Suala la Watu kuanguka halijashika kasi...

Ila kuwarekodi video watu wanaoanguka ndio kumeshika kasi...

Watu kuanguka na kufa ni jambo ambalo lipo toka zaman...

Tatizo hofu ya corona ni kubwa kuliko corona yenyewe, na huu ni ukweli ambao watu wengi hawaujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wanaokufa italy, spain, usa kinachowauwa ni hofu tu. Basi tuendelee kufanya mikusanyiko huku tukiwa tumetoa hofu mioyoni mwetu.

Acheni kukaririshwa maneno na jiwe sijapata kusikia mtaalamu yoyote duniani akisema huu ugonjwa unaweza kudhibitiwa kwa kutoa hofu
 
Samunge ya mkoa gani hiyo? Mbona mazingira sio aisee. Halafu sio kila anaedondoka sasa ndiyo mkamuhusisha na corona.
Hao mateja wa sokoni kudondoka kwao ni kawaida tu, kuna siku mie Kilombero ule upande wa Levolosi Hosp teja kadondoka mbele yangu nahisi sababu ni njaa tu au madawa yanakuwa yamewazidi.
Hapo sio samunge, samunge hakuna msitu, labda ukiwa unashuka chini klokoni
 
coro corrroona mamaaa corona corooonaaa,embe dodo embe dodo limelala mchanganiiiii kwa huba na mazoeaaa....


coro corooon.PNG
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Ukweli usemwe kama ulivyo. Watu wengi huchukua hatua kulingana na 'situation'. Vifo vilikuwepo tangu enzi za Abel na Kain, lakini mazishi ya halaiki hutokana na janga, na hili ni janga.
AFRICA WILL SOON HAVE DEAD BODIES LYING ON THE STREETS (MELINDA GATES). Probably will happen inTz due to unique measures we are employing in the fight against COVID -19.

95371457_1014846845584092_783848917547614208_n.jpg
 
Back
Top Bottom