Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

Tumuombe Mwenyezi Mungu kauli ya melinda gates isitimie, waathilika wakubwa ni sisi wananchi na sio melinda
 
Sio kila KWELI itasemwa Jua hilo
Ukweli usemwe kama ulivyo. Watu wengi huchukua hatua kulingana na 'situation'. Vifo vilikuwepo tangu enzi za Abel na Kain, lakini mazishi ya halaiki hutokana na janga, na hili ni janga.
AFRICA WILL SOON HAVE DEAD BODIES LYING ON THE STREETS (MELINDA GATES). Probably will happen inTz due to unique measures we are employing in the fight against COVID -19.

View attachment 1436015

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nani apaze sauti za Watanzania Hawa ambao wengine wanazikiwa ndugu zao bila kupewa taarifa? Wakienda kuwaulizia hospitali wanajibiwa alikufa na amezikwa na serikali, ukiuliza kazikwa wapi tukaone kaburi, unaambiwa kaulizie City, unaenda huko wanakwambia hatuna jina Hilo kwenye orodha yetu.
 
Sina ya kusema kwa kweli,wananchi wenyewe washaona serikali yao vuluvulu,ni mwendo wa kuachwa ufe pale unapoanguka barabarani KWA CHANGAMOTO YA UPUMUAJI.

So sad hii clip ni karibu na soko la samunge Arusha wale buku 7 lumumba wanavamia comments na kudai huyo ni mlevi na kwamba ni ya siku nyingi hiyo clip,angalia vizuri utaona watu wamevaa mask,pia leo ulikuwa na clip nyingine ya tarffic police kaanguka na mwenzake kasimama mbali mita kama 10 anmashangaa tu.

Nfikiri hadi mwezi wa sita itakuwa ni disaster kubwa nchi hii, handling ya hii issue imewashinda kabisa ,watawala wenyewe kina Gambo n Bashite,hopeless kabisa
Hapo ni Samunge maeneo yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
coro corrroona mamaaa corona corooonaaa,embe dodo embe dodo limelala mchanganiiiii kwa huba na mazoeaaa....

View attachment 1436012

255625562879_status_e312006b2a3d4748a9ecc75efabbf860.jpg
😣😣😣
 
Kwanza sio samunge ilikuwa ni maeneo ya uwanja wa mpira wa sheikh Amri Abeid kwenye kona ya njia ya kuelekea ilipokuwa shivers,pili tukio hilo sio la leo,tatu mtu huyo hakuwa mgonjwa alikuwa kalewa sana, corona haitawaweka ninyi madarakani,leten Sera zenu

Sina ya kusema kwa kweli,wananchi wenyewe washaona serikali yao vuluvulu,ni mwendo wa kuachwa ufe pale unapoanguka barabarani KWA CHANGAMOTO YA UPUMUAJI.

So sad hii clip ni karibu na soko la samunge Arusha wale buku 7 lumumba wanavamia comments na kudai huyo ni mlevi na kwamba ni ya siku nyingi hiyo clip,angalia vizuri utaona watu wamevaa mask,pia leo ulikuwa na clip nyingine ya tarffic police kaanguka na mwenzake kasimama mbali mita kama 10 anmashangaa tu.

Nfikiri hadi mwezi wa sita itakuwa ni disaster kubwa nchi hii, handling ya hii issue imewashinda kabisa ,watawala wenyewe kina Gambo n Bashite,hopeless kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina ya kusema kwa kweli,wananchi wenyewe washaona serikali yao vuluvulu,ni mwendo wa kuachwa ufe pale unapoanguka barabarani KWA CHANGAMOTO YA UPUMUAJI.

So sad hii clip ni karibu na soko la samunge Arusha wale buku 7 lumumba wanavamia comments na kudai huyo ni mlevi na kwamba ni ya siku nyingi hiyo clip,angalia vizuri utaona watu wamevaa mask,pia leo ulikuwa na clip nyingine ya tarffic police kaanguka na mwenzake kasimama mbali mita kama 10 anmashangaa tu.

Nfikiri hadi mwezi wa sita itakuwa ni disaster kubwa nchi hii, handling ya hii issue imewashinda kabisa ,watawala wenyewe kina Gambo n Bashite,hopeless kabisa

Mimi natamani unionyeshe hio ya Traffic aiseeee, iko wapi??
 
hajijalishi iwe samunge au chato au msoga hiyo video ni ushahidi tosha kwamba TANZANIA IMEBADILIKA, TOP DOWN EFFECT, roho mbaya imeanzia juu imeshuka chini,ndani ya miaka 4 hii nchi imepitishwa kwenye roho mbaya sana subirini mwei wa sita muanze kuona UHALIFU NA UPORAJI WA HALI YA JUU
Kama wewe ndo unapanga huo ujambazi ikifika mwezi was 6 sawa utakuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifafa ,kisukari,pressure bado vipo. Maisha yaendelee,hakuna atakayeishi milele
 
Back
Top Bottom