Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

Belinda hakumaanisha 'ivo' eti ufe halafu wengine wawe wanakushangaa . Alichomaanisha hata wewe unayeshangaaa itakuwa míongoni mwa dead bodies.
 
Katika kitu sahivi chakuogopa ni kumuudumia mtu anae ugua kuna watu hawana amani now
 
Samunge ya mkoa gani hiyo? Mbona mazingira sio aisee. Halafu sio kila anaedondoka sasa ndiyo mkamuhusisha na corona.
Hao mateja wa sokoni kudondoka kwao ni kawaida tu, kuna siku mie Kilombero ule upande wa Levolosi Hosp teja kadondoka mbele yangu nahisi sababu ni njaa tu au madawa yanakuwa yamewazidi.
Siyo samunge kwa Babu wa loliondo ni soko la samunge arusha mjini halafu pia sijaona mahali mtoa mada amesema huyo ni mgonjwa wa corona.tufanye ameanguka kwa njaa je tumuache afe kwa njaa sababu tunashughulikia wa corona kwanza?
 
Nani kasema ni Samunge kwa babu? Tufanye tuko round about ya Samunge sasa aseme hapo Samunge kwa wapi? Kuelekea Shree Hindu Hosp, au ile inayoshuka Unga ltd, ama inayotokea posta au ile inayopanda Friends corner
 
Wabongo bhana...
Siku hizi mtu kuanguka limekuwa jambo la ajabu?

Usikariri maisha...
Sio kila anaenguka ana corona wengine hawajala wana njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uajabu ni kuwa kitendo hicho kinatokea na hakuna anayeshtuka kitu ambacho sio kawaida yetu mtu anapopatwa na tatizo ambalo linahusu uhai wa mtu. Kawaida lazima watu wafurike hapo na kutoa msaada wa kibinadamu hata kama hawakufahamu.
 
Siyo samunge kwa Babu wa loliondo ni soko la samunge arusha mjini halafu pia sijaona mahali mtoa mada amesema huyo ni mgonjwa wa corona.tufanye ameanguka kwa njaa je tumuache afe kwa njaa sababu tunashughulikia wa corona kwanza?
Sio Samunge sokoni hapo ni maeneno ya Sheikh Amri Abeid hayo.
 
Wabongo bhana...
Siku hizi mtu kuanguka limekuwa jambo la ajabu?

Usikariri maisha...
Sio kila anaenguka ana corona wengine hawajala wana njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
. ..Sawa Mkuu, lakini kwa mini Kuanguka huku kushike kasi sana kipindi hiki??
Huko nyuma haijapata kutokea watu Wanne\ Watano wakaanguka na kufa katika kipindi cha Massa 72 bila sababu za kueleweka Mkuu Prazora!!
Nahidi wewe ndio unataka kuishi kwa Mazoea Mkuu na sio hawa wanaohoji...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kasema ni Samunge kwa babu? Tufanye tuko round about ya Samunge sasa aseme hapo Samunge kwa wapi? Kuelekea Shree Hindu Hosp, au ile inayoshuka Unga ltd, ama inayotokea posta au ile inayopanda Friends corner
Mimi na wewe hatujui tuassume ni kuelekea Shree Hindu hosp.hoja kuu ni mtu kupata msaada wa haraka anapoonyesha hali ya kuzidiwa.tutaishia kupoteza watu wengi kipindi hiki kwa magonjwa mengineyo zaidi ya tutakaopoteza kwa corona yenyewe,yote sababu ya hofu ya corona
 
Write your reply...Write your reply...ACHENI KULAZIMISHA FACTS NA DATA ZA UONGO HUU UGONJWA HAUJAFIKIA KUBAYA KIASI HICHO NASHKURU MWENYEZIMUNGU ANATULINDA NA JITIHADA BINAFSI ZA WANANCHI NA SERIKALI KUEPUKA UGONJWA HUU

KUNA MBUNGE NIMESKIA ANASEMA SERIKALI IWEKE DATA ZA UKWELI SIJUI NI DATA ZIPI ANAZIONGELEA KAMA YEYE ANAZO SI HATUWEKEE PAMOJA NA VALID EVIDENCE

IFIKIE MAHALA TUACHE UPUUZI SIJAONA SABABU YA SERIKALI KUFICHA MAMBO YANAYOENDELEA KUHUSU GONJWA HILI NI UZUSHI TU HALAFU SIO
KILA ANAEANGUKA ANAANGUKA NA CORONA
 
hajijalishi iwe samunge au chato au msoga hiyo video ni ushahidi tosha kwamba TANZANIA IMEBADILIKA, TOP DOWN EFFECT, roho mbaya imeanzia juu imeshuka chini,ndani ya miaka 4 hii nchi imepitishwa kwenye roho mbaya sana subirini mwei wa sita muanze kuona UHALIFU NA UPORAJI WA HALI YA JUU
 
Nimekuja mbio nikidhani aliyedondoka ni mleta mada Nipige kigelegele
tushapiga vigelegele viwili huko dodoma vya wazee wa ndiyo walivyodondoka,bado kigelegele kikubwa kinasubiriwa kwa yule aliyetumia bilioni 4 kutibiwa yasiyotibka huko New dehl
 
Mimi na wewe hatujui tuassume ni kuelekea Shree Hindu hosp.hoja kuu ni mtu kupata msaada wa haraka anapoonyesha hali ya kuzidiwa.tutaishia kupoteza watu wengi kipindi hiki kwa magonjwa mengineyo zaidi ya tutakaopoteza kwa corona yenyewe,yote sababu ya hofu ya corona
Haha Shree Hindu Hosp sababu ya miti miti .....
Sio kila homa ni malaria. Mtoa mada hajaleta hoja kuu mezani ye kaja na story yake ya kijiwe cha kashata kuja kutupa hofu tu
 
Back
Top Bottom