Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

Suala la Watu kuanguka halijashika kasi...

Ila kuwarekodi video watu wanaoanguka ndio kumeshika kasi...

Watu kuanguka na kufa ni jambo ambalo lipo toka zaman...

Tatizo hofu ya corona ni kubwa kuliko corona yenyewe, na huu ni ukweli ambao watu wengi hawaujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kuanguka ni matukio ambayo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo.


Wewe unaona haya matukio yanaongozana kwa kuwa siku hizi kila anayeanguka anachukulia video, kisha inatupiwa mtandaoni.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii mitandao haikuwepo mwaka jana? Hata kama si corona ila kuna kitu kisicho cha kawaida......imekuwa too much
 
Kumbe wanaokufa italy, spain, usa kinachowauwa ni hofu tu. Basi tuendelee kufanya mikusanyiko huku tukiwa tumetoa hofu mioyoni mwetu.

Acheni kukaririshwa maneno na jiwe sijapata kusikia mtaalamu yoyote duniani akisema huu ugonjwa unaweza kudhibitiwa kwa kutoa hofu
 
Hapo sio samunge, samunge hakuna msitu, labda ukiwa unashuka chini klokoni
 
coro corrroona mamaaa corona corooonaaa,embe dodo embe dodo limelala mchanganiiiii kwa huba na mazoeaaa....

 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Ukweli usemwe kama ulivyo. Watu wengi huchukua hatua kulingana na 'situation'. Vifo vilikuwepo tangu enzi za Abel na Kain, lakini mazishi ya halaiki hutokana na janga, na hili ni janga.
AFRICA WILL SOON HAVE DEAD BODIES LYING ON THE STREETS (MELINDA GATES). Probably will happen inTz due to unique measures we are employing in the fight against COVID -19.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…