Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

Tumuombe Mwenyezi Mungu kauli ya melinda gates isitimie, waathilika wakubwa ni sisi wananchi na sio melinda
 
Sio kila KWELI itasemwa Jua hilo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nani apaze sauti za Watanzania Hawa ambao wengine wanazikiwa ndugu zao bila kupewa taarifa? Wakienda kuwaulizia hospitali wanajibiwa alikufa na amezikwa na serikali, ukiuliza kazikwa wapi tukaone kaburi, unaambiwa kaulizie City, unaenda huko wanakwambia hatuna jina Hilo kwenye orodha yetu.
 
Hapo ni Samunge maeneo yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza sio samunge ilikuwa ni maeneo ya uwanja wa mpira wa sheikh Amri Abeid kwenye kona ya njia ya kuelekea ilipokuwa shivers,pili tukio hilo sio la leo,tatu mtu huyo hakuwa mgonjwa alikuwa kalewa sana, corona haitawaweka ninyi madarakani,leten Sera zenu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natamani unionyeshe hio ya Traffic aiseeee, iko wapi??
 
Kama wewe ndo unapanga huo ujambazi ikifika mwezi was 6 sawa utakuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifafa ,kisukari,pressure bado vipo. Maisha yaendelee,hakuna atakayeishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…