Kama Mzee baba mwenyewe Adamu alilishwa tunda na Bi-mkubwa Eva,hakupinga sembuse wewe upone.Kumbuka lile alilolishwa Adamu alikatazwa na Mungu mwenyewe kwamba asile.Shetani wa sasa bado ni yule yule wa kizamani aliye anayetumia mbinu zile za kizamani alizotumia kumdanganya Eva.So hakuna jipya hapo.Hiyo ni principle ya asili,shetani analetaga uharibifu kwenye familia mara nyingi kwa kupitia mwanamke.Mwanamke huwa anamuelewaga na kumuamini kwa haraka sana shetani.Mwanamke asiyekombolewa bado atakulisha tuu.na inawezekana hata wewe ukionyeshwa video za ulichokwisha lishwa na mwanamke mpaka sasa huwezi amini.Mungu atusaidie
Mungu akubariki baba Mchungaji Joashi Aila wa KKKT Karikoo.Somo lako la (12-16.12.2022) kuhusu familia nazidi kulielewa kwa mfano huu.