Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Wapwa,

Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.

Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"

Toa maoni

Baada ya tarehe 28 October, huyu bwana atakuwa Mtanzania wa kwanza kupokea summons kwenda "The Hague" . Robert Amsterdam tayari anayo hii video tayari.
 
Looooooh .............hapa naona Refa, kesha vaa jazi ya timu mmoja, haya hata mbele ya VAR atakubali BAO tu😳😳😳
 
Is his surname MAHELA or MAHERA? BEFITS none. As for the PhD... even his appointer is synonyms with similar propensity .... VPID
 
Huyu kada wa CCM, anaendelea kuonyesha upumbavu wake
 
Back
Top Bottom