Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Nadhani hapo kwenu - mama, baba, dada na shangazi zako. Ama nimekosea?
Wapinzani ni wakina nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani ni wakina nani?
Huyo ni kada wa ccmWapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
ICC inayopigwa Ban na USA?Mwaka huu lazima kiongozi kama si mmoja au wawil washitakiwe icc na ushahid upo mwingi tu
Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Tanzania is a free country since 1961.It is a key indicator for a ripe revolution. Freedom! Freedom is coming tomorrow!!!!!
Swali la msingi la kujiuliza ni je wakati anayasema hayo alishateuliwa kuwa mkurugenzi wa uchaguzi? Sisi wananchi tuna imani nae msiemtaka shauri yenu sisi tunasonga mbeleWapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
Tume huru haiwezi kupatikan chinj ya utawala huuWengine tumepiga kelele mara kadhaa tugombee kwanza tume huru badala ya kugombea au kupigania vyeo, lakini wapi! Upinzani uliopo si rahisi kuleta mabadiliko ya kweli maana nao wanapenda sana vyeo kuliko kurekebisha kwanza mifumo yetu ya uchaguzi
Mkuu kwani ng'ombe anaweza jitofautisha kuwa nundu yake na mkia wake si vyake?Duh..
Ila si kipindi hicho kabla hajapewa Cheo neutral
Hivi tunaweza kupata MTz ambaye ni neutral kabisaaa,
Labda atoke sayari nyingine.
Issue sio tume ni Katiba.
Huyu Mahela atadhalilika muda si mrefuYaleyalee ya Jecha kuchukua form ya kugombea urais. Ilimradi tu wajianike na kudhihirisha ujuha hadharani.
Duh..
Ila si kipindi hicho kabla hajapewa Cheo neutral