Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Toka mwanzo tulishaona dalili za magufuli na TUME YAKE YA UCHAGUZI kutaka kuvuruga uchaguzi huu, kutokana na kujaza MAKADA hapo NEC. Safari hii hatutakubali asilani mchezo wowote ule mchafu dhidi ya kura zetu.
Maamuzi yeyote ya KIPUUZI basi ieleweke yatapelekea damu kumwagika tu, IKO HIVYO.
 
Hii video, watamwambia Millard aitoe kule kwake kufuta ushaidi, JF tunaomba mtuhifadhie
 
Mkuu,
kwanza naomba ufahamu mambo mawili ya muhimu sana kuhusu Tanzania
1. lazima ushabikoe Timu moja ya mpira kati ya Simba au Yanga
2. Lazima ushabikie Chama Tawala au upinzani

Kila Mtanzania anachama ambacho anakikubali so huwezi mpaka Mtanzania ambaye hana Chembe za hivyo vitu

Ogopa Mungu na Teknolojia"
 
Wapwa,

Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.

Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"

Toa maoni

View attachment 1564550
Yaani huyu ndio refa? Katika watu waliokosa aibu na hofu ya Mungu nafikiri watz ni namba 1.
 
Nguvu ya umma itumike ndio dawa , hawa wanafiki na viherehere hili jengo la detention center the Hague linawasubiri mwaka huu
Screenshot_20200909-215511.png
 
Na sisi tujitahidi kuunga doti, jiulize haya maswali.

1. Kateuliwa na nani?

2. Je, unaweza mteua mtu ambaye hawezi fwata matakwa yako?

3. Je, kwanini Asad alitimuliwa?
Nikiwaza jinsi Asad alivyotimuliwa naona kabisa jinsi jamaa alivyokosa nia ya dhati kuikomboa nchi
 
Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Wapinzani ni wakina nani?
 
Mimi nadhani hakuna sababu ya kuwa na uchaguzi Tz mpaka hapo Chadema itakapokuwa madarakani!!!!!!
 
Wananchi wa Tz bado wako usingizini vyama badala vyenyewe hawataweza kuleta katiba wala tume huru
 
Wapwa,

Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.

Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"

Toa maoni

View attachment 1564550
Huyo sio mwenyekiti cha NEC, Hicho ni kikao cha CCM
Tatizo la nyie hata kufikiria hamuwezi
 
Imagine mtu huyu wa tume anaeleza wazi kuwa yeye atakataa kutangaza aliyeteuliwa na wananchi na kumtangaza anayempenda yeye just because ameona hakutumia lugha anayoitaka yeye??????? Can you believe this??????
 
Maonj yako ni nini Mtanzania
 
Wapwa,

Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.

Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"

Toa maoni

View attachment 1564550
CCM wanatamaa ya madalaka zaidi ya tunavyo fikiri, nadhani wanaogopa kutoka madalakani kwasabu kinacho kusanywa ni kikubwa kinacho pelekwa kwenye maendeleo ni robo ya kinacho kuswanya ,wanaogopa kuondolewa madalakani ili tusujue siri zao ndio manaa wanatumia njia za hatari bila wogo hapa hakuna uchazi nikupoteza muda
 
Back
Top Bottom